Damaso
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 3,978
- 6,739
Ulikula nyama yake? Ulilishwa nyama mfu
Daah [emoji106] hapo suluhu ni nn mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulikula nyama yake? Ulilishwa nyama mfu
Pozi za mikonoView attachment 2606945
Swala la mda picha ita ongea
Heshima kwako kiongozi [mention]Mshana Jr [/mention] .!? Najua kiongozi umebarikiwa mambo mengi katika udadavuzi wa ndoto kiroho. Leo nimeota naendesha baiskel lakini katika hiyo baiskel nimebeba maji nyuma na mbele amekaa kijana, safari ilikuwa ndefu kidogo lakini road yetu kulikuwa na watu wengi na baiskel yangu ilikuwa na break za kutosha hadi wa tembea kwa miguu wana sifia. nilifika sehemu kuna watu wengi sana lakini chini kuna tope la kutosha. Hii ndoto ina maana gani mkuu.!?
Lete tafsiri ndugu mtaalam
View attachment 2603331
Angalia ndoto ya leo kisha kesho tuwasilianeHeshima kwako kiongozi [mention]Mshana Jr [/mention] .!? Najua kiongozi umebarikiwa mambo mengi katika udadavuzi wa ndoto kiroho. Leo nimeota naendesha baiskel lakini katika hiyo baiskel nimebeba maji nyuma na mbele amekaa kijana, safari ilikuwa ndefu kidogo lakini road yetu kulikuwa na watu wengi na baiskel yangu ilikuwa na break za kutosha hadi wa tembea kwa miguu wana sifia. nilifika sehemu kuna watu wengi sana lakini chini kuna tope la kutosha. Hii ndoto ina maana gani mkuu.!?
Angalia ndoto ya leo kisha kesho tuwasiliane
Ndoto zote mbili zina tafsiri moja tuu USHINDI.. kuna changamoto unazipitia lakini ziko ndani ya uwezo wako kwakuwa hakuna iliyokushinda hata moja, na kama kwasasa huna changamoto basi zinakujaNdoto ya leo kiongozi nimeota naogelea bahari tulivu yenye kina kirefu zaidi nilipo fika ufukweni kuna jamaa wakawa wanasema umeweza vipi kuogelea bahari yenye kina kirefu kiasi hiki. Mkuu ni mrejesho wa ndoto ya leo pia nipe maana halisi ya hizi ndoto [mention]Mshana Jr [/mention] Asante.
Ndoto zote mbili zina tafsiri moja tuu USHINDI.. kuna changamoto unazipitia lakini ziko ndani ya uwezo wako kwakuwa hakuna iliyokushinda hata moja, na kama kwasasa huna changamoto basi zinakuja
Plus miguu,
Plus wawili wanaangalia sehemu moja.Pozi za mikono
Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa roho.
Hapa mi bado sijapata connect dots.