Rebuild
JF-Expert Member
- May 26, 2020
- 3,739
- 7,444
Habari wakuu.
Dunia tunapita kila kitu kitabakia
Binadamu ni mchanga.
Tafuta kwajili ya watoto wako na (mke) lakini kumbuka wewe Kwanza maana wewe ndio mtengeneza njia kwahiyo usipofurahia jasho lako basi utakuwa unazingua.
Wanaume tunatafuta pesa ili kuona furaha ya watoto wetu lakini vipi furaha yetu Sisi wenyewe?
Wanawake wanasema wanaweza kutafuta wenyewe lakini ukweli ni kwamba hawana furaha sababu hawaishi Na wanaume zao wanatamani Sana lakini hawapiti Zaidi ya kuishiwa kuliwa tu na benten.
Hakika Sisi wanaume ni zawadi Tosha kutoka kwenye Nature hii (MUNGU)
SAUTI YA MWANAUME NI MUHIMU SANA KATIKA FAMILIA.