Malaya ni watamu saanaAliyekuambia Furaha ya mwanamke inakamilishwa na mwanaume nani?? Tena kwa huyo ambaye amejipata au yuko stable financially??
Hii ya kulea vibenteni sio kwamba ni kutafuta furaha, ni kutuliza upwiru tyuu.
Kuwa na mwanaume afu hana pesa, huo ni upotevu wa rasilimali watu.
πππππππ
ππππMalaya ni watamu saana
Anasa na starehe utafautu ni mdogo starehe ukizidisha ndio inakuwa anasaHapa unamaanisha starehe sasa.
Nyooka tu.
Mbona neno starehe unalikwepa kwepa...utafikiri lina ubaya huo.
Maana Utasikia mtu anakwambia " mimi sio mtu wa starehe"
Halafu hapohapo anataka kufurahi.
Wengi wanachanganya starehe na anasa.
Na upwiru wenyewe kwa mwaka mara mojaAliyekuambia Furaha ya mwanamke inakamilishwa na mwanaume nani?? Tena kwa huyo ambaye amejipata au yuko stable financially??
Hii ya kulea vibenteni sio kwamba ni kutafuta furaha, ni kutuliza upwiru tyuu.
Kuwa na mwanaume afu hana pesa, huo ni upotevu wa rasilimali watu.
πππππππ
Kabisaaaa, πππππNa upwiru wenyewe kwa mwaka mara moja
Maana mambo yakuanza kukuzonga unasahau hata jinsia yako
Ngumu kumezaAliyekuambia Furaha ya mwanamke inakamilishwa na mwanaume nani?? Tena kwa huyo ambaye amejipata au yuko stable financially??
Hii ya kulea vibenteni sio kwamba ni kutafuta furaha, ni kutuliza upwiru tyuu.
Kuwa na mwanaume afu hana pesa, huo ni upotevu wa rasilimali watu.
πππππππ