Tafuta kwanza pesa, usikimbilie kutafuta mwanamke mwingine

Tafuta kwanza pesa, usikimbilie kutafuta mwanamke mwingine

Tuzitafute kwa juhudi zoteee

1. Mkwanja
2. Mawe
3. Sabuni ya roho
4. Mpunga
5. Madafu

Call it whatever ila MONEY BUYS ANYTHING YOU WANT.

If you think money can't buy Happiness then go and ask the jobless and homeless.
🤣
 
Ila twende mbele na kurudi nyuma,kiukweli kabisa mapenz Bila hela hata kidogo ni majanga Tu, kwenda out yahitaji pesa, je ndo kama kwangu pakavu Tia mchuzi unafikiri itakuwaje?

Sometime wanao sema tafuta hela kama nawaelewa hivi!!!!!
wanaeleweka ila leo unaweza ombwa kiasi fln chapesa hunaaa kesho huna aaah lazima wakubebee apo
 
Back
Top Bottom