Palina
JF-Expert Member
- Oct 9, 2021
- 3,551
- 9,522
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mm-mmh!!?If a woman in Love with has a good relationship with his father the probability for a relationship to last is high
Tatizo wannawaume ngono mbele wannawake pesa mbeleHope mko poa.
Recently, kumekua na case tofauti tofauti kwa hili jukwaa pendwa la MMU.
Kumekua na story za member wenzetu humu kuumizwa na haya mapenzi. Kuna thread zinasikitisha na kutia huruma sana. Kama member wa JF na mfatiliaji wa hili jukwaa hili ningependa watu wapate kutambua yakuwa
Unaweza kuwa kituko kwa mtu mmoja ila ukawa Malkia/Mfalme kwa. wengine. Tafuta mtu wako ambye mnawezana na nakomaa nae huyohuyo!. Kulazimisha hakujawahi kuleta furaha 🥺
Kila mtu ana mtu wake, kama unaona unalia kila siku huyo si wakwako, anaeza kuwa mshenzi kwako ila malaika kwa wengine.
Usipokubali kuumia katika mahusiano utaishi kwa kuumia kila siku. Kuna wakati katika mahusiano unapaswa kusema kuwa hili si fungu langu ukaachana na huyo mtu.
Sasa kimombo tena tutaelewane sie mabodabkda jamani mbona mnatutenga....je kama wee hizo similarities ndio zipo kwangu mie bodabodathe mysteriousness of someone that seems totally different than you may attract you at first, but it’s your similarities that even allow you to be in the same place and time as they are, and it’s the similarities that will help you to understand each other and keep the relationship going.