Tafuta mwanamke uoe, haya ndio maumbile tuliyoumbiwa

Tafuta mwanamke uoe, haya ndio maumbile tuliyoumbiwa

Wee wacha kufukua makaburi bwana.🤣🤣🤣🤣 Aisee hii technologia balaa kweli inakuumbua.
Oya ebu wacha zako olewa bwana ata kwa mahari ya laki mbili🤣🤣🤣🤣
[emoji23][emoji23][emoji23] lione likichwa lake
 
Wee wacha kufukua makaburi bwana.🤣🤣🤣🤣 Aisee hii technologia balaa kweli inakuumbua.
Oya ebu wacha zako olewa bwana ata kwa mahari ya laki mbili🤣🤣🤣🤣
Afu et comment umeifuta [emoji23] umeumbuka nyau wee
 
Mi nikioa tutachomana visu huko ndani, nilishanusulika kuchomwa kisu na mwanamke ndani nyie acheni kabisa, bila majirani kuvunja mlango sikuio kungekua na maiti moja wapo na mwingine kuozea jela
 
Hahahah nacheka tu... Sema umekutana na wanaume pungufu. Hujakutana na wanaume rijali.

Mwanaume rijali kama mimi... Yaani mimi ninahitaji tendo kama chakula... Nikirudi tu kila siku uwe umejiandaa. Yaani kila siku tena mara mbili kwa siku asubuhi napotoka na jioni nikirudi.

Wikiendi mara tatu yaani tushinde ndani tu. Kula ndio mapumziko.

Wewe huwezi. Na hutaweza... Lazima usaidiwe... Ili siku nyingine upumzike...UPUMZISHE VIUNGO VYAKO... VIREJESHE ELASTICITY... OTHERWISE VITALEGEA NA UTAPOTEZA HAMU YA TENDO KABISA... NA HIYO INA MADHARA ZAIDI KWAKO...
Kumbe Allah alijua ndio maana huko peponi akawaandalia wake 100.
 
Back
Top Bottom