Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hapa nina noah nyeusi, ka vipi tukamteke yule gaidi wako...Nimetumwa na ww
AhahahaaSasa hapa nina noah nyeusi, ka vipi tukamteke yule gaidi wako...
Siwezi ikuzaEmbu ikuze kidogo..Kuna kitu nataka kuona
Asante na ww hiyo avatar ni ww?Haya miss..Ila nimeipenda gafla
Nitumie kwa pmIle picha hauitaki??..Nishapiga ati
Wapi sasaNjoo uichukue..Pm mods watanichungulia
natumia id ya kike kwa sababu mimi ni wa kike!mimi swali langu kwa Miss Natafuta
kwann umeamua kutumia id ya kike
changamoto zipi unakutana nazo kupitia id yako
vipi kuhusu ile skendo ya kukutwa na pd unaizungumziaje
AiseeNina maswali mawili ambayo yamegawanyika kwenye vipengele a na b .
A. i. STUNTER kwanini haujamjibu venossah?
ii. venossah kwanini umeuliza swali la kimtego kimtego namna hiyo?
B. Babu Asprin unaumri gani kwa sasa? Je hauoni ni wakati mwafaka wa kutuachia warembo na sisi tusuze Rungu zetu wajukuu zako?