Tag and Ask

Tag and Ask

Sina wa kumtag ila nna swali kati ya wap style na hii ya saiv ipi nzuri?
 
Nina maswali mawili ambayo yamegawanyika kwenye vipengele a na b .
A. i. STUNTER kwanini haujamjibu venossah?
ii. venossah kwanini umeuliza swali la kimtego kimtego namna hiyo?
B. Babu Asprin unaumri gani kwa sasa? Je hauoni ni wakati mwafaka wa kutuachia warembo na sisi tusuze Rungu zetu wajukuu zako?
 
Nina swali moja kwa dinnazarde, hivi wewe ni shombeshombe kweli kama inavyodaiwa na baadhi ya wadau.?
 
mimi swali langu kwa Miss Natafuta

kwann umeamua kutumia id ya kike

changamoto zipi unakutana nazo kupitia id yako

vipi kuhusu ile skendo ya kukutwa na pd unaizungumziaje
 
Back
Top Bottom