Tag members wawili unaowakubali sana hapa JF

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] ila ndiyo vizuri inaonesha wewe siyo mfuatiliaji sana wa maisha ya watu, kuna watu nikibadili leo kesho wameshajua wenyewe achilia mbali wale niliowaambia.
Yeah,hii inaweza kuwa sababu

Sio mfatiliaji mzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…