Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 135,167
- 160,806
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante mdogo wangu, ifike wakati uvunje ukimya sasa
😂😂😂 Utani wa ngumi huu acha niwaachie watu watag watu wao wanaowakubali huu uzi hautaki story tag ukimaliza pita zako mm nishamaliza acha niende zangu 😎
Hahaha nililia kwenda mapema ila baadae nilijuta
[emoji16][emoji16][emoji16] ni wivu tuNamshauri abaki nao huo ukimya wake, bora abaki kuumia tu.
Haha thanks unawezaje kufikiria umiss tenaNa umiss ukasahau 😂😂😂 pole
Ipo siku nitajitahidi kutoa ya moyoniAhsante mdogo wangu, ifike wakati uvunje ukimya sasa
Haha thanks unawezaje kufikiria umiss tena
Namshauri abaki nao huo ukimya wake, bora abaki kuumia tu.
Poa poa MkuuAf tutaongea zaidi usiwaze
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4] okayYour wish Granted..Ukiwa na muda tu
[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85] nisamehe sana dear muda wote huo nilidhani ulishagundua, mea culpa love.
Yeah,nabaki kuumia kama hivi
Ila ipo siku nitaanzisha mazoea halafu nitamwambia kwa masihara
Nakukubali pia Joanah wangu, comments zako huwa zinanifurahisha na ninapenda vyenye unawashushua watu wanaokuja na negative energy humu.
Oh and kuweka mambo sawa, Zoë ndiye huyo huyo Karma my dear.
[emoji16][emoji16][emoji16] ni wivu tu
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] ila ndiyo vizuri inaonesha wewe siyo mfuatiliaji sana wa maisha ya watu, kuna watu nikibadili leo kesho wameshajua wenyewe achilia mbali wale niliowaambia.Niko nyuma nyuma sana siku hizi,lakini hata ulivyobadili la kwanza kwenda la pili ilichukua muda kugundua