Tag members wawili unaowakubali sana hapa JF

Dadeeq mpaka hapa sijatajwa ila kuna waliotajwa mara hazihesabiki halafu kuna wehu wa imani anakwambia binadamu wote sawa!

Anyways wale wa likes na vicheko nawakubali nyote na muumba awaepushe na corona. Msisahau kuvaa barakoa ila ukishinda nayo na unanuka mdomo, utavuna ulichopanda.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom