Daah, unanikosea sana adabu kaka.Unamkubali Kiranga na nani mwingine?
ππππWanafamilia yangu wa LIKES β€β€
Numbisa The Happiness carbamazepine Saint Anne Khantwe
Davet king himself π
SHIMBA YA BUYENZE big bro
andjul uncle maparachichi
capitalpool mr. Codes
ningendako baba kajacho ππ
myoyambendi jirani π
moudgulf ππ
Daemusin babu rojo rojo π
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dadeeq mpaka hapa sijatajwa ila kuna waliotajwa mara hazihesabiki halafu kuna wehu wa imani anakwambia binadamu wote sawa!
Anyways wale wa likes na vicheko nawakubali nyote na muumba awaepushe na corona. Msisahau kuvaa barakoa ila ukishinda nayo na unanuka mdomo, utavuna ulichopanda.
Yeah sureYeah,hii inaweza kuwa sababu
Sio mfatiliaji mzuri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee jamaa mchokoziUnamkubali Kiranga na nani mwingine?
[emoji2296]unanionea jirani
ππππ[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296] mwee
Unanikabidhi huyu chambo ya kanisaπππ
Unanikabidhi huyu chambo ya kanisaπππ
Pakumtolea sadaka nishapapata sema kawa miyeyusho kinoma sikuhiziKama kawaida.. toa sadaka ukiweza huyu Super Villain maana siku mbili hizi sikuhema kabisaa