Thank you rafiki, nakukubali pia PEP ,umenifurahisha eti "full package" 😆.Mama Debora - Huwa ananivunja mbavu sana huyu mwamba
financial services - Huyu anaonekana ni 'full package'
Wyatt Mathewson - I like his 'brain
Sent using Jamii Forums mobile app
Wale wa kicheko💙💙[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mimi ni sura ya baba sio beautifulYo always welcome beautiful
Bhasi baba alikuwa extremely handsome 😊😊Mkuu mimi ni sura ya baba sio beautiful
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1696][emoji3590]Wale wa kicheko[emoji170][emoji170]
Hizi ndio nyuzi nzuri za kutongozea....hukosi chochote kitu hapa, unamtag mbebe akija unaanza kuimbisha taratibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha aiseeBhasi baba alikuwa extremely handsome 😊😊
Dada!!!!!
Nimeishiwa maneno... Heshima iliyoje hii??
Nashukuru sana sana.. Na wewe ni moja ya watu ninao wakubali sana humu Jukwaani.. Una hekima na busara ambazo kwangu mimi ni shule tosha kabisa.. Mungu akubariki.
Mazoea na watu wale yanaepukika sasa jamani!!unakuta nipo zangu nimetulia sina hili wala lile mtu huyo PM eti "Niambie"[emoji28][emoji28]Tunaenda nao tu hivyo hivyo.
Na mimi ngoja niwataje wakwangu.. Japokuwa nina wengi sana ninaowakubali zaidi ya MIA MOJA. Japo mleta mada atanisamehe nimetaja zaidi.
@ShadeeyaHeaven Sent na@Heaven on Earth
Humble African
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee kijana ubarikiwe....Hahahaha wana lindo bora? Kuna Mtumishi Rowin pia
Aunt akeeeee; umemissika kiukweli. Bana weee, najipa u-busy tu hahaha; ila daily lazima niingie humu hata kama ni kimya kimya. Ahsante sana mpendwaUsijali tuko pamoja mdogo wangu Amiin mingi mingi kwa dua zako mwaya.
Hahahaa!! Hao wa huko kwa PM kiukweli hawaepukiki kabisaa.
Aunt yangu Heaven Sent huwa ananikosha na magazeti mazito japo siku hizi napishanaga naye sana majukwaani na pia kayapunguza nadhani majukumu hayo. [emoji3]
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Mkuu,wawili ni wachache mno
Nafasi ya kwanza inaenda kwa my all time crush tangu najiunga JF,namuona yeye tu japo simfahamu lakini napicture muonekano wake....popote ulipo kama utapita hapa jua nakukubali sana
chaliifrancisco na sis Khantwe najua mnajua nani namaanisha
Wa pili ni kina Depal Khantwe Carleen Saint Anne Hawachi Zoë mahondaw Shadeeya Sky Eclat karma sijui kabadili ID? Shunie Sakayo yna2 na wengine wachache waliobaki nimesahau IDs zao
[emoji7]Hakuna.