Tag members wawili unaowakubali sana hapa JF

Tag members wawili unaowakubali sana hapa JF

Thank you swts. Ahsante mnooooooo
Dada!!!!!
Nimeishiwa maneno... Heshima iliyoje hii??
Nashukuru sana sana.. Na wewe ni moja ya watu ninao wakubali sana humu Jukwaani.. Una hekima na busara ambazo kwangu mimi ni shule tosha kabisa.. Mungu akubariki.

Mazoea na watu wale yanaepukika sasa jamani!!unakuta nipo zangu nimetulia sina hili wala lile mtu huyo PM eti "Niambie"[emoji28][emoji28]Tunaenda nao tu hivyo hivyo.

Na mimi ngoja niwataje wakwangu.. Japokuwa nina wengi sana ninaowakubali zaidi ya MIA MOJA. Japo mleta mada atanisamehe nimetaja zaidi.
@ShadeeyaHeaven Sent na@Heaven on Earth
Humble African


Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi
Usijali tuko pamoja mdogo wangu Amiin mingi mingi kwa dua zako mwaya.

Hahahaa!! Hao wa huko kwa PM kiukweli hawaepukiki kabisaa.

Aunt yangu Heaven Sent huwa ananikosha na magazeti mazito japo siku hizi napishanaga naye sana majukwaani na pia kayapunguza nadhani majukumu hayo. [emoji3]
Aunt akeeeee; umemissika kiukweli. Bana weee, najipa u-busy tu hahaha; ila daily lazima niingie humu hata kama ni kimya kimya. Ahsante sana mpendwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu,wawili ni wachache mno

Nafasi ya kwanza inaenda kwa my all time crush tangu najiunga JF,namuona yeye tu japo simfahamu lakini napicture muonekano wake....popote ulipo kama utapita hapa jua nakukubali sana
chaliifrancisco na sis Khantwe najua mnajua nani namaanisha

Wa pili ni kina Depal Khantwe Carleen Saint Anne Hawachi Zoë mahondaw Shadeeya Sky Eclat karma sijui kabadili ID? Shunie Sakayo yna2 na wengine wachache waliobaki nimesahau IDs zao
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
 
Back
Top Bottom