Tag members wawili unaowakubali sana hapa JF

Sambaza upendo na uwatag

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaps, Na kikubwa ninachoona mm..
Mtu usipende ligi zisizo na maana hasa za lugha chafu, mm mtu wa namna hio namheshimu sana.
Kua Social/charming.
Kutoa mafundisho, kufurahisha....
Kwa ufupi hakeri wala haboi.
Mtu km huyo ukimchukia Huo ni uchawi au wivu.
Na wewe tunakutanaga tu huko kwa bahati bahati tu ....ila mwanzoni nilipata shida kujua jinsia yako. Lol

Wewe sanaa tuu, najua ushanijua sasa.
 
Mkuu unaogopa kumtag. .This is chitchat bana jiachie ..

@Zoe bony
Nawakubali kinomanoma
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Like yako nimeiona ahsante Sana mpendwa..nakukubali ila Kuna wakati una uchizi fulani hivi...πŸ˜‚πŸ˜‚ Respect dude.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚SIJAWAHI kua serious HATA siku moja Lile jukwaa la Habari ma hoja mchanganyiko, hilo wengi wanalijua..

Serious labda kwenye
Tech, Gadgets and science
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…