Hapana mimi salimia Buza.Sawa.. wasalimie buza lkn ila uhame huko ndio maana unakuwa mtata..😅
Kweli nimeamini maendeleo hayana Chama..😉Hapana mimi salimia Buza. View attachment 1512664
Nenda Kawe nasikia Mwamposa yuko live 😆Maombi nakubali ila waombaji wa hayo maombi naomba niwatag hapa..
Lenie
Saint Anne
Chakorii (huyu ntaombewa nae😅)
Depal na
Goddess
Ila mje usiku kuanzia saa 6 hivi ndo anga la maombi litakuwa limefunguliwa ili Sala zenu zimfikie baba vizuri..😜
Nilishangaa mbona sikuoni. Kumbe umebadili avatar.
Mambo vipi miss wa kubetiHuwa anabet?
Anahudhuria wapi?
Pumbavuuuuuu sana KENZY 🤣🤣🤣🤣🤣kwahiyo unatka tuombewe wote ili unishawishi nianze kunena kwa lugha na uzee wote huu😅😅😅nimekustukia joooMaombi nakubali ila waombaji wa hayo maombi naomba niwatag hapa..
Lenie
Saint Anne
Chakorii (huyu ntaombewa nae😅)
Depal na
Goddess
Ila mje usiku kuanzia saa 6 hivi ndo anga la maombi litakuwa limefunguliwa ili Sala zenu zimfikie baba vizuri..😜
Haha hivi nani anakuotesha;Nataja wengi
Shadeeya
Mdada mstaarabu kama pacha wake hapa 😊
Sanchez magoli
Mvivu sana wa kuchat
chaliifrancisco
Kada mtiifu wa #YNWA anaweza akafa huyu kwa ajili ya team yake
SHIMBA YA BUYENZE
Mstarabu lakini nahisi kama mgomvi huyu
The Monk
Hana maneno mengi
Zoë
Mbishi huyu,akisimamia kitu tena kikiwa kinahusu utetezi wa wanawake anaweza kubishana na JF nzima
Nitaendelea....
Tulia wewe bwana atasema nasi kuwa mvumilivu tu
Mi sio sio yule akamwagia kondoo..😂
Mi nimemuelewa naomba akazie hivyohivyo atakupata tu..Woooooozaaaaaaaaaaa.... KENZY njoo huku ujionee mwenyewe
Umeanza lini uganga wa kienyeji KENZYMi nimemuelewa naomba akazie hivyohivyo atakupata tu..
Mkuu Mtoto halali na hela shika hapohapo kitaelewekatu..😅
Ya kavu bila kula wala kunywa + kukanyaga mafuta