Tag na weka sifa yake moja tu...

Status
Not open for further replies.
Oyooooooo!! Leo ndo leo
Mambo yapo kweupeeee [emoji23][emoji23][emoji23]
Yule mtu ni hatari, ila alishajenga hali Fulani ya kupendwa na kuaminiwa, haikua rahisi watu kumjua undani wake.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata yeye haamini km reputation yake imeanguka vile.
 
Anfied napita mara mojamoja kupata taarifa kutoka kwa wataalamu akina captain
Kasalimie ka junia
Tunaenjoy maisha huko

Def kaja kutema nondo za huko ndani ya club.. bahati iliyoje mmatumbi mwenzetu anatupa za ndani.

Captain Marvelous mzee wa Liverpool, yeye na liver liver na yeye.. hana Uzi mwingine🀣

Junia nitamfikishia salamu zakoπŸ˜‚
 
Habari ndo hiyo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sema wewe sijui ulishindwa vipi kufungua code simple km ile yako?
Mtu mmeonana wawili, watatu ni mr wako afu ghafla unazipata habari km zilivyo!
Unashindwa kumjua aliyevujisha kweli?
Babu ni tatizo nakwambia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Yule mtu ni hatari, ila alishajenga hali Fulani ya kupendwa na kuaminiwa, haikua rahisi watu kumjua undani wake.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata yeye haamini km reputation yake imeanguka vile.
Unafki una mwisho ngozi huwezi kuibadili πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Watu na Mr wenu mjiniii.
Mr km Mr [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Mbna pambeeee.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti babu ni tatizo, ila wee utarogwaa.
 
Ilikuaje akasema na ww amekupitia? Ilinichanganya sana
 
Mungu wangu yaani zile habari zilinishangaza nikabaki nimepigwa na butwaa..
I wish ningeweka hata maongezi maana sauti zote ninazo
Yalikuwa mambo ya ibada tu na maombezi
Pasta akashusha maombi
Mimi huyoo nikaondoka...
 
Alisema ataturoga wote tutakufa yeye ni mchawi aliyeshindikana [emoji23][emoji23][emoji23]
Cha ajabu kakimbia yeye, kasahau km me mkinga sirogoki. Sisi ndo tunagawa uchawi kwetu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hajui Songea uchawi tunachimba na kugawana km njuguu,

Aulize aambiwe, songea uchawi ndo maendeleo yetu, akaanze upyaa.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…