Tag na weka sifa yake moja tu...

Status
Not open for further replies.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaa sana, mama malezi hujachambwaa mie nimesema kuhus mzushi wa sakata lenu ni yeye mwenyewee.

Wala msihangaike kumtafuta mchawii.
Coca usifutage PM bana; narudia usiwe unafuta (kuna siku litakukuta jambo na mtetezi wako ni chats ulizozifuta?; muombe bana huyo alikutumia, akutumie tena.
Unamaanisha alikuwa ananing'onga kwamba watu wanatusingizia kumbe yeye ndiye script writer??????. Na kuna version nyingine kwamba ilibidi twende tukakutane Gairo. Ptuuuuuu
 
Tatizo mie PM kuna mtu huwa anasoma chat, siwezi kaa nazo, kwa navyopenda ubuyu nafutaje bila 7bu, hata screenshots enyewe huko Gallery anafukunyua.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] napataje tabuu.
 
Ndyo wee mlikutana Morena Hotel [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Niliona kabisa convo, yeye ndo anamuambia huyo member.
Teh labda tulikutana kwa Bluetooth. All this while tunataniana jukwaani; jirani nakuja sijui Morena, jirani tukutane kwa Kimaryo sijui tule kitimoto; and not even in a single day tumeshawahi kuvuta hewa ya sehemu moja; hanijui, hana namba yangu ya simu, Wala sina yake, Wala sijawahi kumtumia picha yangu binafsi; hatujawahi kuonana hata ile ya kukutana mahali kwa bahati mbaya. Ndiyo maana hata zile jirani tuonane sijui, hajawahi kupost au mimi kupost hata glass ya juice 2 tu mezani kuonesha kuwa tupo pamoja. Kama amewahi kuniona au hata kubadilishana tu namba na Mimi au hata tukielekezana muda wa kukutana; ruksa aweke shots hapa jukwaani au kama kuna mtu alimpa hizo evidence, aziweke tu hapa
 
Wacha wee
 
Aaahhh jiraaaniiiiiiiii🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣!!

Nyieee Nacheka hadi nakaukaaaa huku mimi khakhakhaaaa! 🀣🀣😁😁!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaa sana, mama malezi hujachambwaa mie nimesema kuhus mzushi wa sakata lenu ni yeye mwenyewee.

Wala msihangaike kumtafuta mchawii.
Mchawiiiiii ombaomba niko hapaa shosss niliomba hadi vocha ya aftatu kwa mwanamke mwenzanguuuu sina mudaaaa!🀠🀠
Kuna vichwa sio vya kuzoeana navyo kabisa humuuu 🀣🀣😁😁!

Ila Selfika ilikua na hekaheka miambiliiii kidogoo kumbe haahhπŸ™Œ!
 
Kumekuchaaa hapaaa hebu niondoke kabla hakujapambazukaa uzi wa wawu ukafungwa!πŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸšΆπŸ»β€β™€οΈ
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…