[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bas sawa usiamini ni yeye, mzushaji atapatikana.Maneno matupu bila picha tutakuaminije?
Wacha weweKm kwa mie nisidanganye, couz yuko vizuri kwenye taaluma yangu na pia alini aminisha sana.
Kikichokuja kutokea after varangati lile, na kila kitu kiliharibika.
Ndo nilipo kuja kujua kumbe ni muongo na huwa ana danganya wadada wengi humu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaahAfanye arudi amalizie ma PDF yake kwanza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mi nataka picha Coca[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bas sawa usiamini ni yeye, mzushaji atapatikana.
[emoji23][emoji23][emoji23] aliniambia atanifanyia mchongo sehem kubwa, na aliniaminisha kabisa, na niliona ukweli.Wacha wewe
Mainjiniaaaaa
Uliambiwa utaweka kazi kwenye kampuni yake ya engineering ama una jipya gani Coa wetu[emoji23]
Tuanzisheni challenge #bringourbabuback watu washagraduate aje atoe ajira na lile PDF alimalizie ππππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaah
Daaah nani tena anawakosea adabu hivyo tumpeleke kwa mwamposa
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Inshallah πKijiwe cha moto balaa[emoji15]
Tukiombee nacho kivuke mwaka.
Mdudu wa bunju mkuu nimekukosea lolote?
Ndivyo walivyo wanadamu wazoee tu na usonge mbeleMi Nacheka tu kiukweli kwakua najua si kweli!
Jf kuna watu hawakomenti komenti unaeza sema ni malaika aloooo kuja ambiwa mambo yao [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]!
Ndiomana najiachia kwaraha Zanguuuu na hata zile picha nilikua natuma selfika sehemu ya wazi ambayo najua kila mtu anaona!
Sina noma na Babu mieπ€£π€£Hatimaye umefikiwa ππππ
Iwe hivyo[emoji1317]Inshallah [emoji16]
ππππ wacha weeSina noma na Babu mieπ€£π€£