Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Kwahiyo alitakiwa kudate na nani?Lazima tuseme ukweli, huyu mshamba alimletea dharau ms eyez.
Mwangalie tena ms eyes, alafu sema ukweli ni wa kuwa na yule dogo?
Mbona wanaendana au mwenzetu unatumia vigezo gani? 😂😂😂😂
Basi anaendana na me shemeji yake wote wabaya 🤣