Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeanza kitu gani? 😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kuna kitu nimekumbuka imebidi nicheke
🤣🤣🤣🤣🤣 Shemeji usinywe tena Ciroc....Hapo Mtihani , ua - flower
Kipekee - unique? Si ndio? Ni flower unique? Huyo member ndio alimponda kinoma,
Huyo atakuwa server ya jf 😂😂😂Mkuu,
Naomba nikuulize, usije tu kunirushia mawe😁😁 hizi taarifa personal kabisa huwa unazipataje, yaani unajuaje nani na nani wanaongea nini, samahani nimedandia fuso njiani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dyadyaa mie hakuniagaa na cjui yuko wapii.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaa!!! Udugu utaachanisha ndoa za watu me simo
Hiyo haipo bana, wale wajinga walikua hawana Cha kuzungumzaUseme na yako sasa uliowala humu au tukuitie mwenye pdf lako [emoji23][emoji23][emoji23]
Uzuri wa shem Leo anajibu majibu yaliyonyookaMkuu,
Naomba nikuulize, usije tu kunirushia mawe😁😁 hizi taarifa personal kabisa huwa unazipataje, yaani unajuaje nani na nani wanaongea nini, samahani nimedandia fuso njiani.
Mnayaweza na shemejio 😂😂😂Hapo Mtihani , ua - flower
Kipekee - unique? Si ndio? Ni flower unique? Huyo member ndio alimponda kinoma,
Okay 👍👍👍👍 naona sijamuona kitamboo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dyadyaa mie hakuniagaa na cjui yuko wapii.
Nahisi yupo humu kwa ID inginee.
Nataka ya TCRA ndo naimudu na kuiweza ipasavyoo.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Eee ajira zote anazo za halmashauri wewe hutaki?
Lipo sema suu niweke 😂😂😂Hiyo haipo bana, wale wajinga walikua hawana Cha kuzungumza
Maua? Huyo ni member?Da maua [emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu weuweeeeee!!! Woiiiiiih[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaa!!! Udugu utaachanisha ndoa za watu me simo
Kanichekesha shem,kaolewa ila kabadili jina na kaja na jibu sahihiMnayaweza na shemejio 😂😂😂
Mtachambwa had mkimbie
Si ndio boy wako, au?😁Huyo atakuwa server ya jf 😂😂😂
😂😂😂😂 na jf ina IDs nyingi, unashangaa mtu anakuita hata hujawahi kuona id yake afu member toka enzi ya TANU uko,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dyadyaa mie hakuniagaa na cjui yuko wapii.
Nahisi yupo humu kwa ID inginee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi siku anatuma PDF had kufurushwa kwa aibu wee hukuwepo? Ulipitwa wapiiii??Okay [emoji106][emoji106][emoji106][emoji106] naona sijamuona kitamboo
Acha tu eee mwaya 😂😂😂Si ndio boy wako, au?😁
Uzi gani? Mambo mengi sikumbuki vizuriTatizo hukuweka screenshot zote
Nakumbuka kuna Uzi ulianza kutiririka.. hukumaliza.
Nikatahadharishwa kwamba ni stories za uongo ..
Sasa sijui ni za uongo kweli ama ndio kujihami[emoji1787]
Ukute na mimi nishasemwa na magauni yangu ya mvuto[emoji1787]