Tag na weka sifa yake moja tu...

Tag na weka sifa yake moja tu...

Status
Not open for further replies.
Sijawahi aisee[emoji23][emoji23]

But kama ilitokea naomba unisamehe sana.

Kuna siku sijui nilisema nn kwako post gani sijui, sijui ndio huko selfika, aisee ilikuja kesi kubwa sana kwangu kutoka kwa lamomy. Ile siku ilikua ngumu sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119], sirudii
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 yalishaishaga yale!

Kweli Mama la mama amekua pa kukushika kwake hufurukutiiii!!
Safi sana😁!
 
[emoji23][emoji23][emoji23] aliniambia atanifanyia mchongo sehem kubwa, na aliniaminisha kabisa, na niliona ukweli.
Mbna kuna siku kuna PDF LA kazi aliniwekea wazi kule selfika, had akasema nichangamkie fursa atanisaidia connections
Itakuwa mambo hayakwenda sawa bwana Coca
Kuwa na subira[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna siku nilichambana nao mpk nikawa naji- quote mwenyewe najitukana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nilitukana mpk nikaingia live afu sielewi nikaanza kuwachamba mpk wanaonitetea [emoji1787][emoji1787][emoji1787] nakuwaga na mizuka
[emoji23][emoji23][emoji23] hilo unaliweza sana, sasa inabidi na joannah umuambukize hili
 
Uzuri bro km Kantry mafridge hayagandishi [emoji23][emoji23][emoji23]
Kutunza siri huwa ni kazi sana[emoji23]

Vichwa vina mambo mengi sana, bado tena na ya huku mafichoni jf uyatunze?? Hapana aisee[emoji23]
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom