Tag na weka sifa yake moja tu...

Tag na weka sifa yake moja tu...

Status
Not open for further replies.
Jamani, kwamba watu wanabeba mambo mazito namna hiyo? Huwa wakifanya hivyo wanatafuta nini?

Kisasi mkuu. Kwamba huyu Hannah huyu anajidai mjanja sana ngoja aingie kwenye 18 zangu ataiona jf chungu.

Unajua mkuu ukiropokewa maneno vizuri lazima upate hasira uone na wewe ni namna gani utamaliza hasira zako.
 
Ndio hivyo huku usipokuwa makini utaumizwa sana.

Juzi juzi hapo kuna mtu tumezoeana kawaida ananisalimiaga PM. Hiyo siku akaja akaniomba kama nina info za mdada mmoja humu. Nikamuuliza ni nini akanipa mkasa mzima. Sasa na yeye anachotaka ni adate naye halafu ampige picha za nyuchi kisha atafute namna ya kumdhalilisha. Mimi nikamwambia sina na ni kweli sina maana mimi huwa sihangaiki kumjua mtu yeyote humu. Na hata ningemjua mimi huwa sinaga bifu ya kudumu na mtu hadi nimfanyie hivo. Mimi tukipishana tukichambana yanaisha kesho yake nipo fresh labda yeye aamue kuyabeba.

Sasa huyu mtu ana ID mbili na ninajua atasoma hapa. Akatumia ID yake nyingine ambayo nayo ipo active ndio akatumia kumtafuta huyu dada. Mimi nawaona tu Kwenye Post wanachat mavibe kama yote hadi natamani nimtonye kwamba anachat na adui. Na anaandaliwa mtego tu. Ila nitamwambia tu .

Hii ilishanitokea mimi pia. Kuna mwanaume nilimdabua humu kisawasawa[emoji23][emoji23]. Kumbe kayabeba bhana. Sasa si akatumia ID yake nyingine kunifuata? Ananisalimia PM na ananiambia ni namna gani anavutiwa na michango yangu kumbe anani seti.

Sasa siku tukachat chat kwenye majukwaa kuna mtu akaja kuniambia hivi unajua fulani ndio yule yule uliyemtukana juzi juzi[emoji23][emoji23]. Nikasema kuuuumbe sasa na mimi nikawa nimejua naenda naye namna anavyotaka tuende. Hadi akaja akajua kwamba nimemshtukia.
Du hii kali
 
Huyo dada yeye acheke naye ila asijiroge akatoa mawasiliano yake

Unakuwa haujui sasa. Wewe unaangalia ni ID mtu kajoin kitambo na ipo active na kwenye hiyo ID haujawahi kukwaruzana naye. Na unavyochat naye anaonekana ana busara kama zote.

Anakuambia nipe namba yako nikutumie hata ya Lunch wewe njaa njaa zako unatuma chapp.

Na hapo anakusoma akili anajua labda wewe ni jobless anajua akikuingia na gia ya kukuunganisha ajira lazima ujae. Sasa wewe uambiwe kuna connection na kweli unahitaji connection hautajipeleka?
 
Lamomy cocastic Tayana-wog Missy Gf Joannah na wadada wengine tuwe makini wapendwa!!

Shukrani sana madam

Usione watu wanakimbia ID zao[emoji23][emoji23]wanafungua mpya. Wameshapigwa matukio sasa hana ujanja tena.

Mtu anakutongoza mnakuwa wapenzi kabisaa kumbe yeye yupo kwenye mission. Mnakutana mnafanya yenu mnajiachiiia halafu anakwambia unakumbuka ulinitukanaga kwenye ID yangu fulani? Hapo ndio unajua haya yote kumbe yalikuwa fake.
 
Na sikuhizi ids mpya zimejaaje humu kumbe watu na mission zao!!
 
Ndio hivyo huku usipokuwa makini utaumizwa sana.

Juzi juzi hapo kuna mtu tumezoeana kawaida ananisalimiaga PM. Hiyo siku akaja akaniomba kama nina info za mdada mmoja humu. Nikamuuliza ni nini akanipa mkasa mzima. Sasa na yeye anachotaka ni adate naye halafu ampige picha za nyuchi kisha atafute namna ya kumdhalilisha. Mimi nikamwambia sina na ni kweli sina maana mimi huwa sihangaiki kumjua mtu yeyote humu. Na hata ningemjua mimi huwa sinaga bifu ya kudumu na mtu hadi nimfanyie hivo. Mimi tukipishana tukichambana yanaisha kesho yake nipo fresh labda yeye aamue kuyabeba.

Sasa huyu mtu ana ID mbili na ninajua atasoma hapa. Akatumia ID yake nyingine ambayo nayo ipo active ndio akatumia kumtafuta huyu dada. Mimi nawaona tu Kwenye Post wanachat mavibe kama yote hadi natamani nimtonye kwamba anachat na adui. Na anaandaliwa mtego tu. Ila nitamwambia tu .

Hii ilishanitokea mimi pia. Kuna mwanaume nilimdabua humu kisawasawa[emoji23][emoji23]. Kumbe kayabeba bhana. Sasa si akatumia ID yake nyingine kunifuata? Ananisalimia PM na ananiambia ni namna gani anavutiwa na michango yangu kumbe anani seti.

Sasa siku tukachat chat kwenye majukwaa kuna mtu akaja kuniambia hivi unajua fulani ndio yule yule uliyemtukana juzi juzi[emoji23][emoji23]. Nikasema kuuuumbe sasa na mimi nikawa nimejua naenda naye namna anavyotaka tuende. Hadi akaja akajua kwamba nimemshtukia.
It’s better ukamwambia mapema.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom