Tahadhali: Sishauri Mbowe na Lisu kutumia helicopter katika mikutano ijayo

Tahadhali: Sishauri Mbowe na Lisu kutumia helicopter katika mikutano ijayo

Ni wazo langu tu! tahadhali si uoga! Sishauri wapande helcopter moja au all together kutumia helicopter.

Tahadhali tu na wala si kuwa kuna any tetesi, NO NOT AT ALL. TAHADHALI TU

Mnajiaminisha vipi? kwa ya Iran are you exempted? Ya malawi?

take care Erythrocyte
Kuna wakati Chadema iliahirisha jambo kama hilo kanda ya nyasa kwa sababu za kiusalama
 
Tanzania si salama kiasi hicho ndugu, tumefika huku kweli.
 
Ni wazo langu tu! tahadhali si uoga! Sishauri wapande helicopter moja au all together kutumia helicopter.

Tahadhali tu na wala si kuwa kuna any tetesi, NO NOT AT ALL. TAHADHALI TU

Mnajiaminisha vipi? kwa ya Iran are you exempted? Ya malawi?

take care Erythrocyte
Ni kweli, yasije yakatokea Kama yale yaliyomkuta marehemu Deo Filukunjombe.
Ushauri wako uzingatiwe na wahusika, helicopter isije ikatumika Kama 'scapegoat' ya kufanikisha mipango ya mahasimu wao.
 
Ni ushauri mzuri.
Ni wakati wa kuchukuwa tahadhari za ziada, siyo huko kwenye usafiri pekee, bali na kwingineko.

Watu wapo 'desperate' sana wakati huu, kuliko ilivyo wahi kutokea wakati mwingine wowote.

Watu wanapokuwa 'desperate' akili huwaruka na kufanya mambo ambayo wasingetegemewa kuyafanya katika hali ya kawaida.
Kuna vichaa wengi sana wakati huu.
 
Ni wazo langu tu! tahadhali si uoga! Sishauri wapande helicopter moja au all together kutumia helicopter.

Tahadhali tu na wala si kuwa kuna any tetesi, NO NOT AT ALL. TAHADHALI TU

Mnajiaminisha vipi? kwa ya Iran are you exempted? Ya malawi?

take care Erythrocyte
Wazo zuri umeoteshwa nini
 
Asante Mkuu
Chadema waache kuona chopa ni maajabu ya dunia.
Mikutano inatosha ingieni kutuma salamu ngumu kwa watawala.
Ni kupoteza muda kila siku vikao vya mahubiri Tumewasikia Yatosha

Mpende jirani yako kama nafsi yako.
Jirani mnamjua tunampenda tujipende na Sisi. Handshakes sijui bilauri za mvinyo na kuitwa kwenye mabaraza ya wenye mizaha yatosha.
Eric Omondi anatuma ujumbe kwenyu hamsikii mweh! Tunashangilia wachafuzi tuu
 
Back
Top Bottom