Tahadhali: Sishauri Mbowe na Lisu kutumia helicopter katika mikutano ijayo

Kuna wakati Chadema iliahirisha jambo kama hilo kanda ya nyasa kwa sababu za kiusalama
 
Tanzania si salama kiasi hicho ndugu, tumefika huku kweli.
 
Ni kweli, yasije yakatokea Kama yale yaliyomkuta marehemu Deo Filukunjombe.
Ushauri wako uzingatiwe na wahusika, helicopter isije ikatumika Kama 'scapegoat' ya kufanikisha mipango ya mahasimu wao.
 
Ni ushauri mzuri.
Ni wakati wa kuchukuwa tahadhari za ziada, siyo huko kwenye usafiri pekee, bali na kwingineko.

Watu wapo 'desperate' sana wakati huu, kuliko ilivyo wahi kutokea wakati mwingine wowote.

Watu wanapokuwa 'desperate' akili huwaruka na kufanya mambo ambayo wasingetegemewa kuyafanya katika hali ya kawaida.
Kuna vichaa wengi sana wakati huu.
 
Wazo zuri umeoteshwa nini
 
Asante Mkuu
Chadema waache kuona chopa ni maajabu ya dunia.
Mikutano inatosha ingieni kutuma salamu ngumu kwa watawala.
Ni kupoteza muda kila siku vikao vya mahubiri Tumewasikia Yatosha

Mpende jirani yako kama nafsi yako.
Jirani mnamjua tunampenda tujipende na Sisi. Handshakes sijui bilauri za mvinyo na kuitwa kwenye mabaraza ya wenye mizaha yatosha.
Eric Omondi anatuma ujumbe kwenyu hamsikii mweh! Tunashangilia wachafuzi tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…