Tahadhali: Sishauri Mbowe na Lisu kutumia helicopter katika mikutano ijayo

Mbowe ana nia ovu na lissu
Mathayo 5 : 9 inasema,
"Heri wapatanishi maana hao wataitwa wana wa MUNGU".

Kinyume cha wapatanishi ni wagombanishi.
Kinyume cha wana wa Mungu ni wana wa shetani.

Naomba umalizie mwenyewe kuwa wewe ni mwana wa ....
 
Kwani Mbowe amegombana na MOSSAD?
 
Mathayo 5 : 9 inasema,
"Heri wapatanishi maana hao wataitwa wana wa MUNGU".

Kinyume cha wapatanishi ni wagombanishi.
Kinyume cha wana wa Mungu ni wana wa shetani.

Naomba umalizie mwenyewe kuwa wewe ni mwana wa ....
sijakuelewa< nani kagombana na nani?
 
Naunga hoja for 100%
 
Kwa nini vijana wa siku hizi hawajui kuandika??? Wanafundishwa na nani??!! "TAHADHALI" ni nini?? Inaudhi!!
 
Asante naimani wqtakuweko humu ndani la sivyo wapatiwe huu ujumbe.
Naunga mkono hoja hii.
MaChawa vs maCCM wanaogombana kila kukicha huko bungeni wanatisha.
 
Ni kweli! lakini waarabu wenye mbuga zao wa ngorongoro wameishaipiga mkwara serikali! SAA100 ulaaniwe hadi kizazi cha 6
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…