Tahadhari: Baa hii iliyopo Tabata Kinyerezi ina wadada wezi

Mawematatu

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2021
Posts
468
Reaction score
608
Ndgu zangu tunao simama kwenye hizi Bar tuweni makini

Ilikuwa hivi.
Nilisimama kinyerezi mwisho njaa ilibana Sana. Nikaona magari na wateja wasimama na wanakula Wababa wamejikalia wakila na kunywa.

Kwa kuwa ilikuwa jumamosi nikapark pembeni mbele ya bar tajwa. Nikiwa nasubiri oda ya chakula. Alinisogelea mdada mnene alivalia track(chino) na t-shirt, ni mweupe kidogo kama sio maji ya kunde, weuPe wake haujakolea kivilee, mfupi hivi. Nikamuomba anipe maji tu.

Baada ya dakika chache chakula kililetwa nikala na kunywa maji kwa amani.

Huyu dada alinidai pesa ya bia. Lahaulla. Nikihamaki tena alijia kwa hasira. Jamani maji yamekuwa bia??

Kuweni makini unaokaa bar ya Kavesu. Huyu mwehu akanikamia na kudai kama nimelewa nitaikojoa. 🥲 Kwa upole nikahoji dada nimekuagizia bia au maji?? Hakunijibu nikauliza tena . Akadai bia mbili. 😆 bia Aina Gani Serengeti lite. LoL maskini hata sijui Radha yake.

Huyu mwanamke atakusumbueni.

Kiukweli nilimuelekeza Sana nikadhani counter ingesaidia but it didn't. Zaidi kuweni makini na hii bar inaitwa Kavesu
 
Ndgu zangu tunao simama kwenye hizi Bar tuweni makin

Ilikuwa hivi.
Nilisimama kinyerezi mwisho njaa ilibana Sana. Nikaona magari na wateja wasimama na wanakula Wababa wamejikalia wakila na kunywa.

Kwa kuwa ilikuwa jumamosi nikapark pembeni mbele ya bar tajwa. Nikiwa nasubiri oda ya chakula. Alinisogelea mdada mnene amevalia track na t-shirt, mweupe kidogo kama sio maji ya kunde, weuPe wake haujakolea kivilee,mfupi hvi. Nikamuomba anipe maji tuuu.

Baada ya dakika chache chakula kiliketwa nikala na kunywa maji kwa amani.

Huyu dada alinidai pesa ya bia. Lahaulla... Nikihamaki tena alijia kwa hasira. Jamani maji yamekuwa bia??

Kuweni makini unaokaa bar ya Kavesu. Huyu mwehu akanikamia na judainkama nimelewa nitaikojoa. 🥲 Kwa upole nikahoji dada nimekuagizia bia au maji?? Hakunijibu nikauliza tena . Akadai bia mbili. [emoji38] bia Aina Gani Serengeti lite. LoL maskin hata sijui Radha yake.

Huyu mwanamke atakusumbueni
Mnawaponda walevi lakini mnaona wanafaidi wakiwa Bar mnaenda kumendea vyakula vyao wanavyokulaga baada ya kulewa na hasa mademu wazuri
 
Ndgu zangu tunao simama kwenye hizi Bar tuweni makin

Ilikuwa hivi.
Nilisimama kinyerezi mwisho njaa ilibana Sana. Nikaona magari na wateja wasimama na wanakula Wababa wamejikalia wakila na kunywa.

Kwa kuwa ilikuwa jumamosi nikapark pembeni mbele ya bar tajwa. Nikiwa nasubiri oda ya chakula. Alinisogelea mdada mnene amevalia track na t-shirt, mweupe kidogo kama sio maji ya kunde, weuPe wake haujakolea kivilee,mfupi hvi. Nikamuomba anipe maji tuuu.

Baada ya dakika chache chakula kiliLetwa nikala na kunywa maji kwa amani.

Huyu dada alinidai pesa ya bia. Lahaulla... Nikihamaki tena alijia kwa hasira. Jamani maji yamekuwa bia??

Kuweni makini unaokaa bar ya Kavesu. Huyu mwehu akanikamia na judainkama nimelewa nitaikojoa. 🥲 Kwa upole nikahoji dada nimekuagizia bia au maji?? Hakunijibu nikauliza tena . Akadai bia mbili. [emoji38] bia Aina Gani Serengeti lite. LoL maskin hata sijui Radha yake.

Huyu mwanamke atakusumbueni
Haujachukua namba yake
 
Back
Top Bottom