Tahadhari: Baa hii iliyopo Tabata Kinyerezi ina wadada wezi

Tahadhari: Baa hii iliyopo Tabata Kinyerezi ina wadada wezi

Kwa kweli hapo sipafahamu.. nitaenda nipajue tuuuu
Panda magari ya kutoka segerea kwenda mbezi kupitia kinyerezi ukivuka round about mbele shuka kituo kinaitwa shule alafu sogea mbele kidogo kwa miguu mkono wa kulia kama unaelekeke gari lilikoelekea utaona ni pazuri kwa kweli.
 
Ndgu zangu tunao simama kwenye hizi Bar tuweni makin

Ilikuwa hivi.
Nilisimama kinyerezi mwisho njaa ilibana Sana. Nikaona magari na wateja wasimama na wanakula Wababa wamejikalia wakila na kunywa.

Kwa kuwa ilikuwa jumamosi nikapark pembeni mbele ya bar tajwa. Nikiwa nasubiri oda ya chakula. Alinisogelea mdada mnene alivalia track(chino)na t-shirt, ni mweupe kidogo kama sio maji ya kunde, weuPe wake haujakolea kivilee,mfupi hvi. Nikamuomba anipe maji tuuu.

Baada ya dakika chache chakula kiliLetwa nikala na kunywa maji kwa amani.

Huyu dada alinidai pesa ya bia. Lahaulla... Nikihamaki tena alijia kwa hasira. Jamani maji yamekuwa bia??

Kuweni makini unaokaa bar ya Kavesu. Huyu mwehu akanikamia na judainkama nimelewa nitaikojoa. 🥲 Kwa upole nikahoji dada nimekuagizia bia au maji?? Hakunijibu nikauliza tena . Akadai bia mbili. 😆 bia Aina Gani Serengeti lite. LoL maskin hata sijui Radha yake.

Huyu mwanamke atakusumbueni.

Kiukweli nilimuelekeza Sana nikadhan counter ingesaidia but it didn't. Zaid kuweni makini na hii bar inaitwa Kavesu
Yaani mm nilivyo mtata sijui hata ningemjibu kitu gani, ila kiufupi anageisoma namba na huo mchezo angeuacha kwa kashikashi ambayo ningempa sijui manager au menywe bar angejua.. pole yako aisee
 
Si ungemuuliza chupa za Bia ziko wapi, na ungemuonesha hiyo ya maji?.

Au huenda kachanganya Magari.

Nahisi kama umefanya hitimisho bila kujiridhisha kama kweli alikuwa na nia ya kukuibia au hakudhamiria..sioni wizi wa hivyo kwa Bar maids, sanasana kuongeza bill na hii ni kwa wanaokunywa vinywaji vingi na haswa pombe.
 
Panda magari ya kutoka segerea kwenda mbezi kupitia kinyerezi ukivuka round about mbele shuka kituo kinaitwa shule alafu sogea mbele kidogo kwa miguu mkono wa kulia kama unaelekeke gari lilikoelekea utaona ni pazuri kwa kweli.
Chimbo zuri ilo
Ila watu wikiend wanajaa sana
Sio pakwenda na mchepuko
Maana kukutana na mnaofahamiana ni rahisi sana
 
Niko keko Leo hapa kwenye furniture kbsa Kuna kibaa kimeamsha vibaya
 
Ushaur wangu...hakikisheni mnakunywa na kulipa kwa bili.. and this time iwe TFD receipt other wise unaibiwa na kuibia serikali.. please tuombe bili za EFD

Tuanze sasa na usikubali.

Having this trouble was My stupidity. I won't allow this again never. Coz next time I should open bill as an evidence.

Nimshauri meneja.. kama yupo mdau hapa amuonye huyu dada asithubutu tena na akiniona Tena aombe radhi. Kwamba hatarudia ten.

kwa sabb siku Ile hata tundra nyumbn halikulika. was a stressful evening, mwenzangu nilimuachia mtambo tu hapo akahangaika nao. Sikuwa mm
 
Ushaur wangu...hakikisheni mnakunywa na kulipa kwa bili.. and this time iwe TFD receipt other wise unaibiwa na kuibia serikali.. please tuombe bili za TFD

Tuanze sasa na usikubali.

Having this trouble was My stupidity. I won't allow this again never. Coz next time I should open bill as an evidence.

Nimshauri meneja.. kama yupo mdau hapa amuonye huyu dada asithubutu tena na akiniona Tena aombe radhi. Kwamba hatarudia ten.

kwa sabb siku Ile hata tundra nyumbn halikulika. was a stressful evening, mwenzangu nilimuachia mtambo tu hapo akahangaika nao. Sikuwa mm
TFD NI NINI.....
 
Hao watu wanakuwa wanapokea order nyingi, kuchanganya si kitu kigeni...ingawaje wapo wajanja wajanja
Ni wezi kweli wanafanya hivi.
Mimi muhudumu nalipwa 70k kwa mwezi naishi Dasalama sikai nilikoajiriwa nategemea kudanga zaidi nitajilipa kupitia bia eidha nazonunuliwa au nitakazoiba kwa kutumia akili.

Na wanaopigwa wengi ni wanaokunywa kwa bill na ukali wa maisha huongezeka zaidi kwenye bar zinazotumia Tip (coupon) makreti kuhudumia mamamamamaee ni wana makasiriko
 
Back
Top Bottom