Tahadhari: Baa hii iliyopo Tabata Kinyerezi ina wadada wezi

Hizo nyingine ni stress za maisha jaman sio utapeli.
Msamehe tu uwez juu kichwan anasumbuliwa na kitu gani
 
Jamani lakini sio kubambikia watu. Tuna mahitaji na haya maeneo wengine. Wanajiliwaza na vinywaji vya moto, wengine narudi wengine beverage tuuuu. Inapotokea una stress zako why don't you leave fun.ckn issues where it belongs??

Hata sis tunazo but hatuwez Fanya hiv vitilu vyeny mazin gira ya kuibia watu.

Hizi tabia ni magonjwa kazina yanakuwepo. Muwe makini
 
Ndgu zangu tunao simama kwenye hizi Bar tuweni makin

Ilikuwa hivi.
Nilisimama kinyerezi mwisho njaa ilibana Sana. Nikaona magari na wateja wasimama na wanakula Wababa wamejikalia wakila na kunywa.

Kwa kuwa ilikuwa jumamosi nikapark pembeni mbele ya bar tajwa. Nikiwa nasubiri oda ya chakula. Alinisogelea mdada mnene alivalia track(chino)na t-shirt, ni mweupe kidogo kama sio maji ya kunde, weuPe wake haujakolea kivilee,mfupi hvi. Nikamuomba anipe maji tuuu.

Baada ya dakika chache chakula kiliLetwa nikala na kunywa maji kwa amani.

Huyu dada alinidai pesa ya bia. Lahaulla... Nikihamaki tena alijia kwa hasira. Jamani maji yamekuwa bia??

Kuweni makini unaokaa bar ya Kavesu. Huyu mwehu akanikamia na judainkama nimelewa nitaikojoa. 🥲 Kwa upole nikahoji dada nimekuagizia bia au maji?? Hakunijibu nikauliza tena . Akadai bia mbili. 😆 bia Aina Gani Serengeti lite. LoL maskin hata sijui Radha yake.

Huyu mwanamke atakusumbueni
nipo njian naenda kudai chenji shenzi na asipokuwa nayo atatoa tigp ww na mm 2jifanye ndugu
 
Hakikisha anakupa bili na uihifadhi Kwa akili ya rejea.

Next time ukipita atakudaiso you can use as an evidence
 
Jamani lakini sio kubambikia watu. Tuna mahitaji na haya maeneo wengine. Wanajiliwaza na vinywaji vya moto, wengine narudi wengine beverage tuuuu. Inapotokea una stress zako why don't you leave fun.ckn issues where it belongs??

Hata sis tunazo but hatuwez Fanya hiv vitilu vyeny mazin gira ya kuibia watu.

Hizi tabia ni magonjwa kazina yanakuwepo. Muwe makini
Shida ni kuwa stress zimemzidia had anachanganya mafaili, sio kuwa anafanya makusudi
 
Ndgu zangu tunao simama kwenye hizi Bar tuweni makin

Ilikuwa hivi.
Nilisimama kinyerezi mwisho njaa ilibana Sana. Nikaona magari na wateja wasimama na wanakula Wababa wamejikalia wakila na kunywa.

Kwa kuwa ilikuwa jumamosi nikapark pembeni mbele ya bar tajwa. Nikiwa nasubiri oda ya chakula. Alinisogelea mdada mnene alivalia track(chino)na t-shirt, ni mweupe kidogo kama sio maji ya kunde, weuPe wake haujakolea kivilee,mfupi hvi. Nikamuomba anipe maji tuuu.

Baada ya dakika chache chakula kiliLetwa nikala na kunywa maji kwa amani.

Huyu dada alinidai pesa ya bia. Lahaulla... Nikihamaki tena alijia kwa hasira. Jamani maji yamekuwa bia??

Kuweni makini unaokaa bar ya Kavesu. Huyu mwehu akanikamia na judainkama nimelewa nitaikojoa. 🥲 Kwa upole nikahoji dada nimekuagizia bia au maji?? Hakunijibu nikauliza tena . Akadai bia mbili. [emoji38] bia Aina Gani Serengeti lite. LoL maskin hata sijui Radha yake.

Huyu mwanamke atakusumbueni.

Kiukweli nilimuelekeza Sana nikadhan counter ingesaidia but it didn't. Zaid kuweni makini na hii bar inaitwa Kavesu
Embu sema ukweli kuna kitu umeficha hapo bhana.
Haiwezekani hizo sifa zake zote umetaja hivyo kuna namna .
Nachomekea neti ntarudi.
 
Amenihudumia maji akanidai bia. Nilimuelekeza Sana lkn hakutaka kuelewa. Mwishoni nikasema sitalioa zaidi ya maji niliyokunywa
 
Hiyo bar inatufaa wateja kama sisi
 
Back
Top Bottom