Tahadhari! Bahari Ina Roho Na Inaweza Kukuua

kupwa na kujaa ni effect ya gravitational pull katika ya mwezi na dunia hayo mabadiliko ya rangi yote yanaelezeka kisayansi
 
Hua napenda sana kuijua bahari, pia naamini bahari ni ulimwengu mwingine tofauti na huu tuliopo, bahari imejitosheleza kwenye kila kitu, kuna milima, misitu, mabonde, barabara, maji yanayotiririka, kuna viumbe vipo deep sea huko hawalipati jua na wanaishi,
Bahari ina maajabu sana na wanasayansi wanasema binaadam ameitafiti bahari kwa asilimia 5 tu, we huogopiiiiii?
 
Bahari inakuona, inakusikia na inaweza kufanya maamuzi ya ajabu juu yako mpaka watu wakashangaa 😳 unapoiangalia Bahari unaona ni maji tu ila bahari ina uhai, yaani Bahari inajua nini kinaendelea, nini cha kufanya, inajua kila kitu.

Mtawala Xerxes 1 wa Persia aliamua kuiadhibu Bahari baada ya kuona imeharibu daraja alilokuwa amelijenga, akawaita wanajeshi wake wakaanza kuichapa baada ya hapo akalijenga tena daraja na Bahari haikulibomoa tena. Hii inaonesha ni kwa namna gani Bahari ina uhai.

Niliona hata kwenye video moja kuna mwanamke alikuwa akiingia kwenye Bahari anapigwa na mawimbi, ni kama Bahari inachafuka. Ilitaka kumuua ila cha ajabu watu walipokuwa wakimchukua na kumpeleka nje, Bahari inatulia, hakuna mawimbi. Akienda kuingia tu, mawimbi yanaanza kupiga tena, ni kwamba Bahari ilikuwa inamkataa. Watu wenye asili ya moto ndiyo wengi wanaoongoza kufa baharini, kama asili yako ni moto usipende sana kuogelea baharini utakufa.
Kingine Bahari inapenda usafi, ndio maana mizoga ya wanyama pamoja na taka nyingine huelea, na kusafirishwa nje ya Bahari.
 
Japo hujaiweka vizuri sana ila kuna vitu hata mimi nilikuwa huko lake Nyasa leo nikajikuta nikiyashaangaa sana maji na kuna mtu nilimwambia ukiyaangalia maji ,maji yana siri na nguvu nzito sana kwanza maji ni yana uhai na hayakai na kitu kilichokufa zaidi sana yanauwezo wa kuuwa ndani tuu ya sekunde 47-49 usipoyajulia na kuwa karibu na asili yako yatakuua lakini pia ardhi ina vita ya moja kwa moja na maji ukiangali vizuri utaona maji nayo yanataka ardhi ikae chini yake na ikikaa juu itaimomonyoa nakuizamisha.
Vilele vile maji yana upendo na viumbe kama mimea,wanyama wa asili yake
NB
Bado nafanya utafiti hii mada imekuja kama "deja vur"
 
Kingine Bahari inapenda usafi, ndio maana mizoga ya wanyama pamoja na taka nyingine huelea, na kusafirishwa nje ya Bahari.
Sio mizoga yote. Mbona Binadamu akizama anapotelea chini? Ni suala la maumbo tu
 
Vipi kuhusu ardhi?
ARDHI Ina mambo Mengi sana mazuri na mabaya japo tunaikanyaga kila siku hata hivyo nilichagua kuizungumzia bahari maana watu wamekuwa wakiitumia kimazoea wakidhani ni Kitu Cha kawaida tu.
 
Sio mizoga yote. Mbona Binadamu akizama anapotelea chini? Ni suala la maumbo tu
Binadamu anazama kwa siku tatu baada ya hapo lazima maiti yake ielee juu ya maji na kusukumwa ufukweni. Labda awe maliwa na samaki au wanyama wa majini.
 
Back
Top Bottom