Mkuu hivi ni uthibitisho gn unahitaji ili uamini kama bahari ni kiumbe cha MUNGU?
Nabii Musa alipokimbizwa na Pharao na jeshi lake alipokuta bahari akaichapa fimbo na bahari ikatii kwa kukatika katikati wakapita salama.
-Siku moja Yesu yupo kwenye mtumbwi na wanafunzi wake wanasafiri akapitiwa na usingizi,,alipoamka alikuta bahari inadhoruba kali sana ,,akaikemea na bahari ikatiii..
Narudi kwko mkuu,,hivi kitu ambacho unakikemea na kukutii sio kiumbe hai?
-Jaribu siku moja ongea mambo ya hovyo baharini kama utatoka salama..
-Kuna siku moja niliwahi kwenda baharini,,nilikuwa nimekwenda ktk beach part fulani hivi,,wakati wenzangu wapo busy na music mimi nilikwenda baharini maji ya magoti,,,nikaongea na bahari na haikupita siku 7 mambo yng yote yalifunguka .
Bahari ni kiumbe cha Mungu mkuu...