Tahadhari! Bahari Ina Roho Na Inaweza Kukuua

Bila Mzungu hii dunia ingekuwa ngumu sana. Kwa akili hizo hauwezi kufikiri kudesign meli ukiamini bahari inapigana vita kisa umeona mawimbi makubwa.
 
Daraja jipya lilipojengwa halikubomolewa tena na bahari kwavile bahari ilishachapwa viboko hapa napo huelewii??!
We jamaa wacha kuzingua. Daraja linajengwa kitalaamu. Ukiona limebomoka ujue limezidiwa na nguvu ya maji iwe maji ya mto, bahari au ziwa. Nguvu ya maji sio uhai. Hata upepo una nguvu.
 
Ukiona limebomoka ujue limezidiwa na nguvu ya maji iwe maji ya mto, bahari

umeandika nini,👆
Na Mimi nimeandika nini😁😁
 
Newton: Gravity is a force
Einstein: Gravity bent time and space not force

Shule ni muhimu sana
 
Ukiona limebomoka ujue limezidiwa na nguvu ya maji iwe maji ya mto, bahari

umeandika nini,👆
Na Mimi nimeandika nini😁😁
Kudhibiti nguvu ya maji ni utalaamu ni kama kudhibiti nguvu ya upepo kwenye majengo na sio kuadhibu maji au upepo. Madaraja na maghorofa yanajengwa kwa kufuata utalaamu na usipozingatia ni kubomoka
 
Bahari inakuona, inakusikia na inaweza kufanya maamuzi ya ajabu juu yako mpaka watu wakashangaa 😳 unapoiangalia Bahari unaona ni maji tu ila bahari ina uhai, yaani Bahari inajua nini kinaendelea, nini cha kufanya, inajua kila kitu.

Mtawala Xerxes 1 wa Persia aliamua kuiadhibu Bahari baada ya kuona imeharibu daraja alilokuwa amelijenga, akawaita wanajeshi wake wakaanza kuichapa baada ya hapo akalijenga tena daraja na Bahari haikulibomoa tena. Hii inaonesha ni kwa namna gani Bahari ina uhai.

Niliona hata kwenye video moja kuna mwanamke alikuwa akiingia kwenye Bahari anapigwa na mawimbi, ni kama Bahari inachafuka. Ilitaka kumuua ila cha ajabu watu walipokuwa wakimchukua na kumpeleka nje, Bahari inatulia, hakuna mawimbi. Akienda kuingia tu, mawimbi yanaanza kupiga tena, ni kwamba Bahari ilikuwa inamkataa. Watu wenye asili ya moto ndiyo wengi wanaoongoza kufa baharini, kama asili yako ni moto usipende sana kuogelea baharini utakufa.
Nyota yangu samaki, wacha nikapunge upepo nikiangalia jua linavyozama taratibu, sun dweller mimi.
 
Bahari inakuona, inakusikia na inaweza kufanya maamuzi ya ajabu juu yako mpaka watu wakashangaa 😳 unapoiangalia Bahari unaona ni maji tu ila bahari ina uhai, yaani Bahari inajua nini kinaendelea, nini cha kufanya, inajua kila kitu.

Mtawala Xerxes 1 wa Persia aliamua kuiadhibu Bahari baada ya kuona imeharibu daraja alilokuwa amelijenga, akawaita wanajeshi wake wakaanza kuichapa baada ya hapo akalijenga tena daraja na Bahari haikulibomoa tena. Hii inaonesha ni kwa namna gani Bahari ina uhai.

Niliona hata kwenye video moja kuna mwanamke alikuwa akiingia kwenye Bahari anapigwa na mawimbi, ni kama Bahari inachafuka. Ilitaka kumuua ila cha ajabu watu walipokuwa wakimchukua na kumpeleka nje, Bahari inatulia, hakuna mawimbi. Akienda kuingia tu, mawimbi yanaanza kupiga tena, ni kwamba Bahari ilikuwa inamkataa. Watu wenye asili ya moto ndiyo wengi wanaoongoza kufa baharini, kama asili yako ni moto usipende sana kuogelea baharini utakufa.

Nasikiaga majini yameumbwa kwa moto kumbe Kuna wanadamu tena walioumbwa kwa moto? Jagina

Bahari kuwa na mawimbi, mikondo na dhoruba si ushahidi kwamba bahari ina akili, macho, masikio au uwezo wa kufanya maamuzi. Hayo ni matukio ya kimaumbile yanayoelezeka kisayansi.

Kuhusu Xerxes, Herodotus anaeleza kwamba Xerxes aliamuru bahari “iadhibiwe” baada ya dhoruba kuharibu daraja lake. Lakini hiyo ilikuwa imani na hasira ya Xerxes, si ushahidi kwamba bahari ilihisi maumivu au ilitii amri yake. Kama kweli kuchapwa kwa bahari kulifanya itulie, basi kwa nini dhoruba nyingine zilitokea baadaye?

Na hiyo video ya mwanamke ni ushahidi gani? Mawimbi yanaweza kubadilika kutokana na upepo, mikondo, mawimbi ya bahari (swell), kina na hali ya hewa. Bahari kutulia baada ya watu kumtoa mtu hakuthibitishi kwamba bahari ilikuwa inamkataa mtu huyo.

Hata Biblia inasema:

“Upepo ukavuma kwa nguvu juu ya bahari, hata mawimbi yakainuka.” — Yohana 6:18

Haijasema bahari ilikasirika au iliamua kumshambulia mtu.

Na dai kwamba “watu wenye asili ya moto ndio wengi wanaokufa baharini” unalithibitisha kwa takwimu gani? “Asili ya moto” ni dhana gani inayopimika kisayansi?

Kama una ushahidi kwamba bahari ina akili, inajua kinachoendelea, inaona, inasikia na hufanya maamuzi, leta ushahidi wa moja kwa moja. Mawimbi peke yake hayathibitishi hayo. 😄
 
Bahari inakuona, inakusikia na inaweza kufanya maamuzi ya ajabu juu yako mpaka watu wakashangaa 😳 unapoiangalia Bahari unaona ni maji tu ila bahari ina uhai, yaani Bahari inajua nini kinaendelea, nini cha kufanya, inajua kila kitu.

Mtawala Xerxes 1 wa Persia aliamua kuiadhibu Bahari baada ya kuona imeharibu daraja alilokuwa amelijenga, akawaita wanajeshi wake wakaanza kuichapa baada ya hapo akalijenga tena daraja na Bahari haikulibomoa tena. Hii inaonesha ni kwa namna gani Bahari ina uhai.

Niliona hata kwenye video moja kuna mwanamke alikuwa akiingia kwenye Bahari anapigwa na mawimbi, ni kama Bahari inachafuka. Ilitaka kumuua ila cha ajabu watu walipokuwa wakimchukua na kumpeleka nje, Bahari inatulia, hakuna mawimbi. Akienda kuingia tu, mawimbi yanaanza kupiga tena, ni kwamba Bahari ilikuwa inamkataa. Watu wenye asili ya moto ndiyo wengi wanaoongoza kufa baharini, kama asili yako ni moto usipende sana kuogelea baharini utakufa.
Mkuu upo sahihi kabisa,,bahari ni kiumbe cha MUNGU kama viumbe vingine,,
Ukiiangalia bahari ufukweni huwezi elewa ila ukiwa deep sea ndy utaona sura halisi ya bahari..
Bahari inaweza ikakufanyia vituko hata ukashangaa,na bahari inaweza ikakuokoa pia
 
Back
Top Bottom