Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Usitafute laana.Magufuli Ni chaguo la Mungu
Laana ya nini sasa?Usitafute laana.
Msema ukweli mpenzi wa MunguUsitafute laana.
Acha ujuaji mwingi, Huku niliko (not Tanzania), tangu Corona imeanza hao watu wa security/wahudumu wa sehemu husika ndio wanatupima joto!! Hao wataalamu wa Afya wawekwe kwenye kila geti? Watapatikana wapi? Hata nchi zilizoendelea hawawezi kuimplement hii kitu.Unapimwa joto na askari?
hiki ni kituko cha karne.
ni bora wangeweka mtaalamu wa afya
Vipi huko uliko hakuna vifo vya corona?Acha ujuaji mwingi, Huku niliko (not Tanzania), tangu Corona imeanza hao watu wa security/wahudumu wa sehemu husika ndio wanatupima joto!! Hao wataalamu wa Afya wawekwe kwenye kila geti? Watapatikana wapi? Hata nchi zilizoendelea hawawezi kuimplement hii kitu. Jf imekuwa ya ajabu sana siku hizi
Ww ni mjinga kweli?Acha ujuaji mwingi, Huku niliko (not Tanzania), tangu Corona imeanza hao watu wa security/wahudumu wa sehemu husika ndio wanatupima joto!! Hao wataalamu wa Afya wawekwe kwenye kila geti? Watapatikana wapi? Hata nchi zilizoendelea hawawezi kuimplement hii kitu. Jf imekuwa ya ajabu sana siku hizi
Joto mbona hata wewe mwenyewe unaweza kujipima? Wamepewa maelekezo tu kuangalia watu wenye joto litalozidi 37cUnapimwa joto na askari?
hiki ni kituko cha karne.
ni bora wangeweka mtaalamu wa afya
Kwahio unashauri wangeweka Dr au nurse kila taasisi na sehemu nchi hii?! Hospital atabaki nani?Ww ni mjinga kweli?
Toka lini askari akapima afya ya binadamu
Kichwa chako kimejaa tope la kamasi!