Tahadhari dhidi ya corona: Tigo waanza kuchukua hatua, ukiingia katika ofisi zao unapimwa joto mlangoni

Tahadhari dhidi ya corona: Tigo waanza kuchukua hatua, ukiingia katika ofisi zao unapimwa joto mlangoni

Naona Watanzania wameamka na kuanza kuchukua tahadhari ambapo uvaaji wa barakoa sasa umeanza kurudi mitaani.

Kwa upande wa kampumi ya simu za mkononi ya Tigo, wao wameenda mbali zaidi ambapo ukitaka kuingia katika ofisi zao, unapimwa kwanza joto mlangoni na askari kabla ya kuruhusiwa kuingia, na ukiingia ndani wahudumu wao wamevaa barakoa.

Nawapongeza tigo kwa hatua hii niliyoishuhudia leo katika tawi lao moja.

Hongereni sana.
Oh, yes
Nilienda ofisini kwao pale mlimani city nilikutana na utaratibu huo
 
Ww ni mjinga kweli?
Toka lini askari akapima afya ya binadamu
Kichwa chako kimejaa tope la kamasi!
Yani wewe ndio mjinga wa grade A. Kwa sisi wazazi huwa tunavipima joto na ukiona mtoto joto lake halieleweki unampima na kujua kama ni la kawaida au unahitaji kumkimbiza hospitali. Sasa wewe unaehitaji mpaka joto apime daktari. Na hata kuna hosptali wale wanaopima presha sio manesi wala madaktari ni wahudumu tu.
 
Mtu mjinga huwaza na kuamini kua kile akifanyacho basi na wenzake hukifanya,mwanaume rijali hawezi kuongelea mambo ya rinda,bila shaka hiyo ndio kazi yako na hasira hizi kumbe unapayuka kwa kukumbuka kua ulichezewa huo mchezo! Pole sana.
Nitakubabua soon...
 
Nitakubabua soon...
Endelea tu kutukana wanaJF wanaojaribu kukupa elimu na kukutoa gizani ila tambua kua umeshageuka kituko kwenye hii thd na unaonekana ni mtu uliyepata malezi ya hovyo sana na umekata tamaa ya maisha,yaani kwenye hii thd unahangaika kama Kuku aliyekatwa kichwa kisha akaachiwa ghafla,wewe ni wakusikitikiwa tu na wakuonewa huruma na jamii kwa madhila unayoyapitia.
 
Jipe shughuli ya kufanya......
 
Hivi hiko kipima joto kinasaidia kweli?!
Dalili mojawapo ni joto kupanda kwahio wakikupima joto likiwa juu isivyo kawaida unashauriwa ukafanye vipimo zaidi. Kama ni bank au ofisi huruhusiwi kuingia.
 
Back
Top Bottom