Tahadhari dhidi ya corona: Tigo waanza kuchukua hatua, ukiingia katika ofisi zao unapimwa joto mlangoni

Tahadhari dhidi ya corona: Tigo waanza kuchukua hatua, ukiingia katika ofisi zao unapimwa joto mlangoni

Tuwe wawazi tu Watanzania hatuna uwezo wa kukabiliana na hili dubwana kama Typhoid, kipundupindu & Malaria vimetushinda je hii ya kuenezwa na hewa tutaiweza.

Tufanyeni kazi huku tukitarajia matokeo yoyote.
 
Kwahio unashauri wangeweka Dr au nurse kila taasisi na sehemu nchi hii?! Hospital atabaki nani?
Unajua maana ya wataalamu wa afya ama umekariri mtaalamu wa afya ni doctor na nesi Wabongo mna akili fupi sana!
 
Unajua maana ya wataalamu wa afya?
ama umekariri mtaalamu wa afya ni doctor na nesi wabongo mna akili fupi sana!
Mwenye akili fupi hapa anaonekana. Ungekuwa na akili ndefu ungejua haihitaji mtaalam wa afya kupima joto lako. Watu wanajipima BP, sukari itakuwa joto la mwili? Tena ki scanner kama cha supermarket eti waweke mtaalam wa afya.
 
Kwahio unashauri wangeweka Dr au nurse kila taasisi na sehemu nchi hii?! Hospital atabaki nani?
Unajua maana ya wataalamu wa afya?
Ama umekariri mtaalamu wa afya ni doctor na nesi wabongo mna akili fupi sana!
Unajua maana ya wataalamu wa afya !!??
ama umekariri mtaalamu wa afya ni doctor na nesi wabongo mna akili fupi sana!!!
Unajua maana ya wataalamu wa afya !!??
ama umekariri mtaalamu wa afya ni doctor na nesi wabongo mna akili fupi sana!!!
Mwenye akili fupi hapa anaonekana. Ungekuwa na akili ndefu ungejua haihitaji mtaalam wa afya kupima joto lako. Watu wanajipima BP, sukari itakuwa joto la mwili? Tena ki scanner kama cha supermarket eti waweke mtaalam wa afya.
Mjinga ww siwezi bishana na jinga kama ww!!!
wataalamu wa afya wapo kibao wengine wapo mitaani unaniambia askari asimame apime afya unafikiri kwa kutumia buttocks
 
Lol man kile kifaa ni rahis sana kutumia. Haiitajiki mtu mwenye elimu kubwa kukitumia.
Yaan joto above C flan ni hatari.. means huyo mtu anashida.
Below that hana. Simple as that
Ndivyo mnavyochukulia mambo kirahisi namna hiyo?
 
Naona Watanzania wameamka na kuanza kuchukua tahadhari ambapo uvaaji wa barakoa sasa umeanza kurudi mitaani.

Kwa upande wa kampumi ya simu za mkononi ya Tigo, wao wameenda mbali zaidi ambapo ukitaka kuingia katika ofisi zao, unapimwa kwanza joto mlangoni na askari kabla ya kuruhusiwa kuingia na ndani wahudumu wao wamevaa barakoa.

Nawapongeza tigo kwa hatua hii niliyoishuhudia leo katika tawi lao moja.

Hongereni sana.
Pale Chadema makao makuu kuna kapipa ka maji tiririka!
 
Unapimwa joto na askari?

Hiki ni kituko cha karne. Ni bora wangeweka mtaalamu wa afya
Korona ina porojo nyingi Sana. Sasa mm ninayetembea kwa mguu na joto hili la Dar, nikifika hapo si watakuta nina joto la maitu ya korona?? Waache Usanii.
 
Dokta bichwa hii aibu anaificha wapi?
Maji yamekorogeka
1611741696034.png
 
Naona Watanzania wameamka na kuanza kuchukua tahadhari ambapo uvaaji wa barakoa sasa umeanza kurudi mitaani.

Kwa upande wa kampumi ya simu za mkononi ya Tigo, wao wameenda mbali zaidi ambapo ukitaka kuingia katika ofisi zao, unapimwa kwanza joto mlangoni na askari kabla ya kuruhusiwa kuingia na ndani wahudumu wao wamevaa barakoa.

Nawapongeza tigo kwa hatua hii niliyoishuhudia leo katika tawi lao moja.

Hongereni sana.
Acheni ujinga na Upuuzi swala la kupima joto lipo tokea siku corona ilipoanza kama kwenu hampimi basi nakujulisha kuwa tigo hawajawahi kuacha kupima tokea march 2020.
 
Hospitali kwenyewe wanatumia walinzi kupima joto
Ndio ujinga wenu.....!!!
wapo wataalamu husika wengi kitaa....
wapeni hiyo kama kazi ya muda
watasaidia sana hata kwa ushauri...
kwa wahusika watakaokutwa na maambukizi.Assume askari amekupima amekuta una joto la ajabu then what next!!????
anakushauri nini!!?
 
Adi joto lipande inamaana huyo ni mgonjwa kupima joto ninahisi ni bwebwe tu atakuwa tiari amesha ambukiza tangu wameanza kupimaga joto hakuna ata mmoja alishawahi kunaswa akiwa na joto kali adi je wote hawana iyo kitu 19
 
Back
Top Bottom