Tahadhari dhidi ya corona: Tigo waanza kuchukua hatua, ukiingia katika ofisi zao unapimwa joto mlangoni

Anakushauri uende kumuona daktari. Huwezi kujaza madakatari kwenye.mageti eti kupima joto. Huo ndiyo utakuwa ujuha wa hali ya juu.
 
Kumpima mtu body temperature hakuhitaji utaalamu wa hali ya juu,muhimu ujue kukitumia hicho kifaa na kusoma digital number tu,
Hata huku nilipo walinzi "Gate security" ndio wanatumika kupima joto la mwili kwa kila atakae taka kuingia ndani ya jengo husika.
 
MBONA HIZI TAHADHALI NA MAWARAKA HAVIKULETWA KIPINDI CHA MIKUTANO YA KAMPENI??
 
Tz kuna majinga mengi jingine hili hapa!!.
 
Tz kuna majinga mengi jingine hili hapa!!.
Aisee! wewe unajua mimi nipo wapi? mimi nimeelezea kinachofanyika huku nilipo,naona mzee umejikoki kubishana na kutukana watu hovyo! utabishana na forums utaiweza? hapa tunajadiliana na wala hatugombani wala kutukanana,Dunia ilisha staarabika,jifundishe jinsi ya kujadili jambo bila mihemko.
 
Jinga ww nijue uko wp! manake nini? nimetoa reasoning zangu kule juu ilipaswa ujibu kwa adabu.....sio unaingilia na kujibu kwa kejeli fikra zenu fupi sana..... anyway ww na wapuuzi wenzio msiniquote tena ninayoongea yamezidi uwezo wa fikra zenu.
 
Jitambue wewe mwenyewe, kwamfano kama wewe unajua jumatatu shule asa kwann uforcewe, unajua kanuni za ugonjwa wa korona na kanuni za afy so usiwe na presha tii yale ambayo unajua yatakusaidia kuishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…