Tahadhari dhidi ya corona: Tigo waanza kuchukua hatua, ukiingia katika ofisi zao unapimwa joto mlangoni

Hata wahusika nao washaanza kushtuka
 
Acheni mambo ya kitaalam yafanywe na wataalam.Msipende kufoji foji
Hakuna mtu anafoji man. Ulaya kwenyewe askari walipo magetini ndio wanapima joto.
Hapo us wameshindwa ku deploy wataalam kila kona ya jiji. Despite ya resources walizonazo.

Huwez uka deploy madaktari kila kona ya nchi na viunga vyake wakatosha..
Isitoshe yaan u deploy madaktari kitaani wakapime joto?
Yea tuwachie wataalam.. but wataalam wana kazi nyingi za muhimu zaidi.
 
Mtaalamu wa afya sio lazima awe daktari
 
Kumbe ndiyo maana Tigo wameamua kupandisha bei za vifurushi vyao vya internet ili kujikinga na corona. Kwa sasa 500/= unapata 50MB tu kwa siku.
 
Kumbe ndiyo maana Tigo wameamua kupandisha bei za vifurushi vyao vya internet ili kujikinga na corona. Kwa sasa 500/= unapata 50MB tu kwa siku.
Duh hatari, vifurushi. Mafuta, nk mbona balaaa Jamanii
 
Akili fupi kama mumeo hapo juu mwenye shati jekundu poteeni.
Jinga ww nijue uko wp! manake nini? nimetoa reasoning zangu kule juu ilipaswa ujibu kwa adabu.....sio unaingilia na kujibu kwa kejeli fikra zenu fupi sana..... anyway ww na wapuuzi wenzio msiniquote tena ninayoongea yamezidi uwezo wa fikra zenu.
Tz kuna majinga mengi jingine hili hapa!!.
Mnaliwa vibogo nyinyi..
Haaaaa Haaaaa 😂 😂 😂 Jamanii sio kwa hasira hizi looh😂😂
 
Vipi huko uliko hakuna vifo vya corona?
Kaka vifo vipo, ila hizi measures zinasaidia kupunguza. And tatizo kubwa siyo vifo mkuu, ni hospitali kuelemewa, hali ambayo inaweza kusababisha vifo zaidi pale ambapo mgonjwa atakosa kuhudumiwa kwa wakati muafaka
 
Ww ni mjinga kweli?
Toka lini askari akapima afya ya binadamu
Kichwa chako kimejaa tope la kamasi!
Ushawahi kupimwa temperature kwa ajili ya Corona? Unajua hata kifaa kinachotumika? Wewe unaonesha uwezo wako wa kufikiri na sehemu unayotoka ni primitive sana!! Kifaa cha kupimia joto Corona unaweza ukanunua ukakaa nacho ndani mkajipima na familia yako kila siku asubuhi na jioni! Pambafu
 
Mseing wa Mombasa ww!
kuna mtu amekuita hapa
kumbaf Tz kuna majinga mengi jingine hili hapa!
 
Jinga ww nijue uko wp! manake nini? nimetoa reasoning zangu kule juu ilipaswa ujibu kwa adabu.....sio unaingilia na kujibu kwa kejeli fikra zenu fupi sana..... anyway ww na wapuuzi wenzio msiniquote tena ninayoongea yamezidi uwezo wa fikra zenu.
Naona umeamua kuudhihirishia uma jinsi ulivyo mpumbavu,nadhani una stress za maisha na ndizo zinazokuchanganya,kubisha kwenye hii issue na kutukana watu unatumia kama njia yakurelease stress zako,ila stress hazitoki kwa wewe kujionyesha kua ni mpumbavu,huenda huko unapoishi au kwenye familia yako unadharaulika sana na huna thamani yeyote ndio maana hasira zako unazimalizia kwa kutukana strangers,Dogo maisha hayaendi hivyo.
 
Mkuu huyo unayemfahamisha ana matatizo ya akili,anahitaji zaidi matibabu kuliko kupewa elimu kwasasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…