Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 8,939
- 10,403
Mbona ccm ikitukanwa na Viongozi wake Huwa hatuwaoni TLS Wala Wale wa kutetea Haki za binadamu? Yaani hivyo Vyama vimejigeuza ni Mali ya Upinzani au?
Iko hivi ukiona baunsa na kasichana wanapigana ,ukasema ww huingilii maana yake ww uko upande wa baunsa . Ccm ndo adui number 1 kwenye kuvunja sheria imejipandikiza mahakaman ,bungeni ,etc kwa hiyo nchi haiendeshi kitaalamu ,bali wanachoamua baraza kuu ccm ndo la mwisho ,ndo maaana wanagawiana mashamba ,mabandar etMbona ccm ikitukanwa na Viongozi wake Huwa hatuwaoni TLS Wala Wale wa kutetea Haki za binadamu? Yaani hivyo Vyama vimejigeuza ni Mali ya Upinzani au?
Iko hivi ukiona baunsa na kasichana wanapigana ,ukasema ww huingilii maana yake ww uko upande wa baunsa . Ccm ndo adui number 1 kwenye kuvunja sheria imejipandikiza mahakaman ,bungeni ,etc kwa hiyo nchi haiendeshi kitaalamu ,bali wanachoamua baraza kuu ccm ndo la mwisho ,ndo maaana wanagawiana mashamba ,mabandar etMbona ccm ikitukanwa na Viongozi wake Huwa hatuwaoni TLS Wala Wale wa kutetea Haki za binadamu? Yaani hivyo Vyama vimejigeuza ni Mali ya Upinzani au?
Jambo Afande . Heshima kwako kiongozi . Kidumu chama Tawala
Mpuuzi huyu Mwabukusi ana akili zile zile za chuki zetu za kiafrika, kudhani kuwa matatizo yetu chanzo chake ni watu tunaoweza kuwanyooshea vidole.Kwa tabia ya yule Jamaa kufokea Kila mtu na kuona wote hawana akili isipokuwa yeye basi Mawakili wajiandae Kuburuzwa na kupelekeshwa na Mwabukusi kama gari bovu,mtu ana mihemko ,hana utulivu wa akili Wala approach nzuri ya kutatua Changamoto eti ndio awe Rais wa watu Wanaojiita wasomi ππππ
View: https://twitter.com/Jambotv_/status/1817480317936013473?t=ckoQk19UwTtdh-WlHQJCbQ&s=19
Anataka apewe Chawa mwenzake.@ChoiceVariable ume dislike nilipo kuambia umeandika upumbavu unataka kusifiwa kama akili za watawala wako ndio maana unaona mwabukusi hafai
Aliekuambia tuzo za nobel zinatolewa kwa sababu ya taaluma ni nan?mbona una hoja dhaifu zinazokuaibisha mwenyewe.Nyie ndio Huwa mnajiina mnazo na msivyojiamini mkajiongezea na mbele eti msomi ππππ
Sijawahi ona popote Duniani Mwanasheria akapewa tuzo ya Nobel Kwa sababu ya kuwa mwanataaluma ya sheria.
Zinatokewa Kwa sababu zipi?Aliekuambia tuzo za nobel zinatolewa kwa sababu ya taaluma ni nan?mbona una hoja dhaifu zinazokuaibisha mwenyewe.
CCM bhanaπ mnataka watu kama mwenyekiti wa CWT ili mpenyeze ajenda zenu kwenye Chama. Sasa kama hujui, fani ya sheria ina uanaharakati ndani yake. Huwezi kuwa mwanasheria na umezubaa tu kila kitu kwako ndio. Mwabukusi ni tishio kwa Serikali na tunahitaji watu wa namna hiyo milele yote ili Serikali isizoee kutupanda vichwaniKwa tabia ya yule Jamaa kufokea Kila mtu na kuona wote hawana akili isipokuwa yeye basi Mawakili wajiandae Kuburuzwa na kupelekeshwa na Mwabukusi kama gari bovu,mtu ana mihemko ,hana utulivu wa akili Wala approach nzuri ya kutatua Changamoto eti ndio awe Rais wa watu Wanaojiita wasomi ππππ
View: https://twitter.com/Jambotv_/status/1817480317936013473?t=ckoQk19UwTtdh-WlHQJCbQ&s=19
Jamaa anatanguliza ego za Kinyakyusa kwenye maamuzi yanayohitji utulivu wa akili Kwa maslahi ya wengi ikiwemo wale asiowakubali πππ
Pia soma Wakili Mwambukusi huenda akashidwa kwenye kura uchaguzi wa TLS
Upumbavu ni tafsiri ya nani?
Dogo nikuambie tu kwanza TLS inaendeshwa na katiba tena iliyonyooka.Kwa tabia ya yule Jamaa kufokea Kila mtu na kuona wote hawana akili isipokuwa yeye basi Mawakili wajiandae Kuburuzwa na kupelekeshwa na Mwabukusi kama gari bovu,mtu ana mihemko ,hana utulivu wa akili Wala approach nzuri ya kutatua Changamoto eti ndio awe Rais wa watu Wanaojiita wasomi ππππ
View: https://twitter.com/Jambotv_/status/1817480317936013473?t=ckoQk19UwTtdh-WlHQJCbQ&s=19
Jamaa anatanguliza ego za Kinyakyusa kwenye maamuzi yanayohitji utulivu wa akili Kwa maslahi ya wengi ikiwemo wale asiowakubali πππ
Pia soma Wakili Mwambukusi huenda akashidwa kwenye kura uchaguzi wa TLS
Sasa hukui hata Tuzo za Nobel zinatolewa kwa sababu gani unakuja kuandika Uharo huku matako ya ndugu zako,rudi shule maandazi wewe.Zinatokewa Kwa sababu zipi?
Sababu nazijua ila Kwa nini haitolewi kwenye fani ya Sheria?Sasa hukui hata Tuzo za Nobel zinatolewa kwa sababu gani unakuja kuandika Uharo huku matako ya ndugu zako,rudi shule maandazi wewe.
Mtaburuzwa Hadi muite maji maanaππDogo nikuambie tu kwanza TLS inaendeshwa na katiba tena iliyonyooka.
Sasa tabia ya akili ya kusema atawaburuza mawakili umeitoa wapi.
Nyie vibaraka wa CCM jifunzeni kutoa funza kichwani kabla ya kutoka hadharani na maandiko yenu kengefu.
Umekuta kiandiko mitandaoni umekigeuza kuwa hoja ya kupiga mgombea, eti atawabiruza wanasheria wa TLS kiasa amesema kuna mambo ya kufuata sheria na mambo ya kushinikiza kwa nguvu ya umma. We hujui kama ni kweli kuna mambo yanahitaji nguvu ya uma?
Ulivyo MPUMBAVU ukaingiza ishu ya ukabila,eeh NDIO wewe ni MPUMBAVU,Wanyakyusa wamekujaje kwa Ishu ya Mwambukusi kugombea TLS na misimamo yake?
Waambie na vibaraka wenzio kuwa kuna mzee nimekutana nae JF kanipiga,ameniambia tuwe tunatoa Funza kichwani kabla ya kutoka kwenye kadamnasi.
The Legacy.
Sababu nazijua ila Kwa nini haitolewi kwenye fani ya
Ndugu Tuzo ya Nobel hutolewa kwa waliofanya uvumbuzi wenye manufaa kwa maisha ya binadamu.hii ndio kifupi.Sababu nazijua ila Kwa nini haitolewi kwenye fani ya Sheria?
Kama fani yenyewe Haina uvumbuzi Wala Msaada wowote Ina maana gani Sasa? ππππNdugu Tuzo ya Nobel hutolewa kwa waliofanya uvumbuzi wenye manufaa kwa maisha ya binadamu.hii ndio kifupi.
Nimekuuliza maswali ya Msingi unakuja na screenshorts zako na taarabu.Ndio maana kuna kipindi nilikuignore sababu ya ujinga huu.Mtaburuzwa Hadi muite maji maanaππ
View: https://twitter.com/kigogo2014/status/1817838689864548372?t=2lePsbH949y-Am8N9lvP4Q&s=19