Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 8,939
- 10,403
Itafika hatua TLS iangalie namna ya kuwawajibisha wale wanaotoa ahadi hewa!
Mbona ccm ikitukanwa na Viongozi wake Huwa hatuwaoni TLS Wala Wale wa kutetea Haki za binadamu? Yaani hivyo Vyama vimejigeuza ni Mali ya Upinzani au?