Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
TZ naamini ni nchi ambayo ingekuwa mbali kama ingetumia akili kwa kiwango cha juu kama wanavyotumia ujinga kwa kiwango cha kipekee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya mambo yapo sana, unaeza jikuta upo xvdeos kule watu wame ku rate kabisa
[emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji115] [emoji115] [emoji115]Mbaya zaidi umewekwa mtandaoni upo na mke wa jirani yako
[emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji115] [emoji115] [emoji115]Mbaya zaidi umewekwa mtandaoni upo na mke wa jirani yako
Huwa unaenda za ulaya au?siwezi kwenda local guest na mwanamke aiseee
Mwingine aliwahi kulilia avatar ya tupac humu jf hatari sana.hakuna mwenye hatimiliki ya avartar, hata yangu hii japo nilianza kuitumia tangu 2012 lakini bado inatumiwa na watu.
Na si kweli kwamba hio ulianza kuitumia wewe humu, wapo wengi tu walianza kuitumia kabla yako, mimi nilianza kuitumia hio yako kwenye page yang ya FB kitambo tu wakati wewe bado unatumia ile ya tembo.
Kifupi hakuna mtu mwenye uwezo wa kumwambia mwenzie kwa nini umetumia avatar yangu, ni jambo tu la kiungwana kutotumia avatar zainazofanana ila sio lazima
no uchochoroni ndo sehemu zanguHuwa unaenda za ulaya au?
Video letu litatoka mtaaniYote ya nini
eti nje kutamuYote ya nini
why..?Unakaribia kuhitimu kozi ya mafumbo