Tahadhari epukeni gesti za bei poa uswazi

-lakini zinasaidia.kukatia kiu ya ghafla.yakhe.../ gizani nope!/, napenda kupaona palivyo...
 
huu usemi huu "aisifiae mvua imemnyea" Aaaaa!! me sijui
 
Mwingine aliwahi kulilia avatar ya tupac humu jf hatari sana.
 
Mshana Jr, umewaza nini leo bro!!!?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji115] siasani kimenuka kiza kimeota macho halafu kina masikio na siku za karibuni kimeongezewa mapembe na kucha ndeefu
 
Nilishawahi kulala guest moja maeneo ya keko mwanga hao kunguni alimanusura nijaze ndoo walikuwa wakuzoa sitakaa nisahau.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…