Tahadhari epukeni gesti za bei poa uswazi

kazi Kweli Kweli, hii Inaitwa kula uliwee
 
Wapiga chabo wa Dar
Manzese ilikuwa inaongoza
Kisha Mburahati
Halafu magomeni
Mabibo
Mwananyamala
Kinondoni
Temeke
Ilala
 
Kuna mwana kule Mwananyamala ndio alikuwa bingwa wa chabo yani hakuwa na mpinzani.. Alistaafu chabo baada ya siku moja bila kujua akajikuta anayempiga chabo ni mama yake mzazi na anapelekewa moto buza kwananihii
 
Sasa asubuhi nipo kanisani mtu akanigusa anamuona mfugo unaingia bandani (makalioni). niliacha kwenda mwaka mzima kwa aibu ya hawa jamaa.[emoji23]
 
Geust House za bei chee 3,000 mpaka 5,000
1. chabo
2. kunguni
3. kuchafu
4. luku tatizo
5. maji tatizo
6. watu kufanya kijiwe hasa kile chumba cha muhudumu
7. vitanda telemka tukaze(mishindo mitatu chaga zote chini)
Legend...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…