Tahadhari epukeni gesti za bei poa uswazi

Tahadhari epukeni gesti za bei poa uswazi

Kuna vibinti na mashangingi yaliyoshindikana yanadhalilisha wanaume
Vigesti vya bei poa vina mambo ya ajabu. Vimetegeshewa darubini zisizoonekana kwenye mwanga hafifu wa taa na hata smart phone kwa sasa
Kuna wapenda chabo hulipia hiyo huduma Kuona ngono live
Wanaume wanadhalilika na kudhalilishwa huko bila kujijua
Mitindo ya tanganyika jeki cha kati
3c6102cddced6cc7a178ed11be4255a7.jpg
mchuzi juu na mingineyo ni dhalili kwa wanaume bila kujijua wanaonwa live
Vile vibinti na ile michangu usione unaifanya matusi kwa bei poa ikaridhika, kuna malipo mengine yanawasubiri
Kama huwezi kabisa kujizuia kwenda huko hakikisha hukubali masharti yao ya ziada na tafadhali zima taa ujilie vyako gizani! Utaokoka na mengi
kazi Kweli Kweli, hii Inaitwa kula uliwee
 
Wapiga chabo wa Dar
Manzese ilikuwa inaongoza
Kisha Mburahati
Halafu magomeni
Mabibo
Mwananyamala
Kinondoni
Temeke
Ilala
 
Kuna mwana kule Mwananyamala ndio alikuwa bingwa wa chabo yani hakuwa na mpinzani.. Alistaafu chabo baada ya siku moja bila kujua akajikuta anayempiga chabo ni mama yake mzazi na anapelekewa moto buza kwananihii
 
mshana jr sio haba hadi na wa bei poa we unao-poa

au ndo kuisoma namba

Kuna siku nilikwenda na mtoto G house ya buku mbili nilitoka na mifugo(kunguni). sasa asubuhi nipo kanisani mtu akanigusa anamuona mfugo unaingia bandani (makalioni). niliacha kwenda mwaka mzima kwa aibu ya hawa jamaa.
Sasa asubuhi nipo kanisani mtu akanigusa anamuona mfugo unaingia bandani (makalioni). niliacha kwenda mwaka mzima kwa aibu ya hawa jamaa.[emoji23]
 
Geust House za bei chee 3,000 mpaka 5,000
1. chabo
2. kunguni
3. kuchafu
4. luku tatizo
5. maji tatizo
6. watu kufanya kijiwe hasa kile chumba cha muhudumu
7. vitanda telemka tukaze(mishindo mitatu chaga zote chini)
Legend...!
 
Back
Top Bottom