TAHADHARI: Hali si shwari Simba..!

Teeeeeeeh teeeeeeeeeh teeeeeeeeeeh ndiyo wasomi hao wa kariakoo shimoni
 
Simba hakuna msomi wacha kudanganya watu wewe mmeigia mkenge mkasaini 880m/annual wakati wenzenu yanga wamelamba 950m/annual
 
 
Aveva kashituka mhindi alikuwa anataka aendelee kutukopesha kesho itokee kama vyura fc deni la bilion 11 Aveva hapendi ujinga kaka.
Jengo la simba hadi sasa lipo mikononi mwa wakopeshaji wahindi wenye akili walishakula
 
Timu zote za Tanzania ziko sawa tu tofauti kama IPO ni ndogo sana.Tanzania ni nchi maskini usitegemee kuwa na kiwango kizuri cha soka na utawala wa soka wa ufanisi kwa klabu zetu wala timu ya taifa.Hadi hapo tutakapo jenga uwezo wa utawala na utaalamu wa soka ndio angalau tutaona soka LA maana hapa bongo
 
Yafaa tujikumbushe kidogo
Teteteeeh, ndo mafanikio waloyapata makubwa kwao ni hayo tu.. Mwaka wa sita huu, wanajivunia kumfunga Yanga goli 5, kwao ndio fahari kubwa kama Yanga akija kuifunga Manchester United.... Kampeni za viongozi wa simba ni yule atakae ahidi kuifunga Yanga, bhhaaassss.. Huyo ndie kiongozi anayewafaa simba. Teteteeeh. Mbumbumbu bhana!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mkuu...nimesema tujikumbushe tu..POVU LA NN!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…