Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Teeeeeeeh teeeeeeeeeh teeeeeeeeeeh ndiyo wasomi hao wa kariakoo shimoniWasomi Simba! Hahahaaa.. Asikusikie Aden Rage! Walioitwa mambumbumbu na mwenyekiti wao wa Club ni team ipi!
Wanaodai points 3 ilihali wamefungwa na wamekiuka kanuni za rufaa ni nani..
Walioshindwa kuisoma na kuielewa mikataba ya wadhamini wa Club na kuingizwa Chaka na Sportpesa ni nani.... Hao ndo wasomi sio,. Hahahahaaaa