TAHADHARI: Hali si shwari Simba..!

TAHADHARI: Hali si shwari Simba..!

Wasomi Simba! Hahahaaa.. Asikusikie Aden Rage! Walioitwa mambumbumbu na mwenyekiti wao wa Club ni team ipi!
Wanaodai points 3 ilihali wamefungwa na wamekiuka kanuni za rufaa ni nani..
Walioshindwa kuisoma na kuielewa mikataba ya wadhamini wa Club na kuingizwa Chaka na Sportpesa ni nani.... Hao ndo wasomi sio,. Hahahahaaaa
Teeeeeeeh teeeeeeeeeh teeeeeeeeeeh ndiyo wasomi hao wa kariakoo shimoni
 
Kaka nenda kajifunze sheria ya mkataba ( contact law) simba mpk sasa wameingia mkataba na mdhamini mmoja tu naye ni sport pesa. Mo siyo mdhamini bali alikuwa anaikopesha timu na deni lake mpk sasa ni 1.4 bilion mdhamini hakopeshi sisi wana msimbazi ndo tunajua nyie wapita njia hamjui chochote kuhusu simba
Simba hakuna msomi wacha kudanganya watu wewe mmeigia mkenge mkasaini 880m/annual wakati wenzenu yanga wamelamba 950m/annual
 
Nyinyi si mbumbumbu Fc hamjui haki zenu.
Sasa kama Uongozi unazingua kwa nini wabaki madarakani kama Raisi wenu asiye na Nchi wala ikulu Aveva ni wa kuwatimua tu ata kwa magongo.

Angekuwa kwa wakimataifa(YANGA ) tusingekubali abaki mpaka Leo kawaona nyinyi Mbumbumbu Fc A.K.A wamatopeni .
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
9bb34188f5a2b91bf596812c8c7e97a0.jpg
 
Aveva kashituka mhindi alikuwa anataka aendelee kutukopesha kesho itokee kama vyura fc deni la bilion 11 Aveva hapendi ujinga kaka.
Jengo la simba hadi sasa lipo mikononi mwa wakopeshaji wahindi wenye akili walishakula
 
Timu zote za Tanzania ziko sawa tu tofauti kama IPO ni ndogo sana.Tanzania ni nchi maskini usitegemee kuwa na kiwango kizuri cha soka na utawala wa soka wa ufanisi kwa klabu zetu wala timu ya taifa.Hadi hapo tutakapo jenga uwezo wa utawala na utaalamu wa soka ndio angalau tutaona soka LA maana hapa bongo
 
Yafaa tujikumbushe kidogo
60635342a36bd3095a13371b1c3f7d67.jpg
Teteteeeh, ndo mafanikio waloyapata makubwa kwao ni hayo tu.. Mwaka wa sita huu, wanajivunia kumfunga Yanga goli 5, kwao ndio fahari kubwa kama Yanga akija kuifunga Manchester United.... Kampeni za viongozi wa simba ni yule atakae ahidi kuifunga Yanga, bhhaaassss.. Huyo ndie kiongozi anayewafaa simba. Teteteeeh. Mbumbumbu bhana!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Teteteeeh, ndo mafanikio waloyapata makubwa kwao ni hayo tu.. Mwaka wa sita huu, wanajivunia kumfunga Yanga goli 5, kwao ndio fahari kubwa kama Yanga akija kuifunga Manchester United.... Kampeni za viongozi wa simba ni yule atakae ahidi kuifunga Yanga, bhhaaassss.. Huyo ndie kiongozi anayewafaa simba. Teteteeeh. Mbumbumbu bhana!
Mkuu...nimesema tujikumbushe tu..POVU LA NN!?
 
Back
Top Bottom