Tahadhari: Huyu ni tapeli wa Kujiaminisha?

Nilishapewa madhara ya kumsaidia mtu kwa kutoa pesa kumpa mkononi.

Mfano kama huyo wa kuomba msaada wa nauli kama unayo nafasi wewe mkatie tiketi kisha mkabizishe kwa konda asepe,kama ni msaada wa hela ya kula mpeleke umlipie ale asepe.
Vipi kwa wale omba omba wasio na mikono na miguu.
Wengi wao huhitaji msaada wa fedha ili kujikimu sio chakula tu na mambo mengine.
Hawa kwa upande wako huwa unawasaidiaje?
 
Kaa chonjo
 
Nilishapewa madhara ya kumsaidia mtu kwa kutoa pesa kumpa mkononi.

Mfano kama huyo wa kuomba msaada wa nauli kama unayo nafasi wewe mkatie tiketi kisha mkabizishe kwa konda asepe,kama ni msaada wa hela ya kula mpeleke umlipie ale asepe.
Naam
 
Mchana
Mchana ombaomba tapeli usiku anakula bata na warembo.. Haya maisha haya....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…