Tahadhari: Ipo siku hewa tunayovuta tutailipia kodi ili ipatikane pesa ya kulipa mikopo chechefu

Usilolijua ni sawa na usiku wa giza...hiyo mikopo unayoipiga vita ndio inasababisha wadogo wanaajiriwa na mishahara kwa watumishi inaongezwa....hivi unahisi kodi inayopatikana kwenye vyanzo mbalimbali vya mapato inatosha kwa kila kitu?.....
 
Update: 15/06/2022
Kila mTanzania anaevuta hewa ya Tanzania na mwenye umri wa zaidi ya miaka 18 atatakiwa kuilipia kodi

Then this is not a proper way to run any organization. Huwezi endesha kila kitu kwa mikipo...ipo siku deni litakua kubwa to a point ukitoa pesa za matumizi na kuservice deni huna unacho baki nacho, huna uwezo wa kukopa na huna kipato cha ziada.
 
Wamerudisha kodi yankichwa tayari, kazi ipo
 
Kama deni linaongezeka na ratio sio sambamba na Maendeleo, watanzania tunaibiwa hapo... 😳 😳 😳 😳 😳 😳 😳
 
Hii mikopo tunayobugia kwa pupa hivi tutakuja kuilipa kupitia puani. Tanzania yakopa Tsh trilioni 2.4 kutoka IMF

Muda wa kulipa ukifika, tunaweza hata kuambiwa tulipie hii hewa tunayovuta, maana ni rasilimali ya serikali na tulipe kama tunavyolipa kodi ya ardhi. Unapimwa uzito wako kisha unaenda TRA kukadiriwa wastani wa hewa unayovuta kwa mwezi na kupewa control number ukalipe, haina jinsi, mikopo chechefu lazima ilipwe!
Tena tutaambiwa tule nyasi ikibidi, ila mikopo ilipwe na riba yote!

===========================
Update: 15/06/2022
Kila mTanzania anaevuta hewa ya Tanzania na mwenye umri wa zaidi ya miaka 18 atatakiwa kuilipia kodi

kukopeshana kwa riba ndo mna Uislamu umekataa hya mambo ya riba mna yanazidi kumdhoofisha mkopweshaji
 
Tuache kukopa kopa kama wendawazimu, hii mikopo yenye mariba makubwa yanasababisha tupigwe kodi kubwa sana ili tu kuilipa, ni mizogo, tuache!
 
Back
Top Bottom