Tahadhari: Ipo siku hewa tunayovuta tutailipia kodi ili ipatikane pesa ya kulipa mikopo chechefu

Usilolijua ni sawa na usiku wa giza...hiyo mikopo unayoipiga vita ndio inasababisha wadogo wanaajiriwa na mishahara kwa watumishi inaongezwa....hivi unahisi kodi inayopatikana kwenye vyanzo mbalimbali vya mapato inatosha kwa kila kitu?.....
 
Update: 15/06/2022
Kila mTanzania anaevuta hewa ya Tanzania na mwenye umri wa zaidi ya miaka 18 atatakiwa kuilipia kodi

Usilolijua ni sawa na usiku wa giza...hiyo mikopo unayoipiga vita ndio inasababisha wadogo wanaajiriwa na mishahara kwa watumishi inaongezwa....hivi unahisi kodi inayopatikana kwenye vyanzo mbalimbali vya mapato inatosha kwa kila kitu?.....
Then this is not a proper way to run any organization. Huwezi endesha kila kitu kwa mikipo...ipo siku deni litakua kubwa to a point ukitoa pesa za matumizi na kuservice deni huna unacho baki nacho, huna uwezo wa kukopa na huna kipato cha ziada.
 
Wamerudisha kodi yankichwa tayari, kazi ipo
 
Kama deni linaongezeka na ratio sio sambamba na Maendeleo, watanzania tunaibiwa hapo... 😳 😳 😳 😳 😳 😳 😳
 
kukopeshana kwa riba ndo mna Uislamu umekataa hya mambo ya riba mna yanazidi kumdhoofisha mkopweshaji
 
Tuache kukopa kopa kama wendawazimu, hii mikopo yenye mariba makubwa yanasababisha tupigwe kodi kubwa sana ili tu kuilipa, ni mizogo, tuache!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…