Uchaguzi 2020 Tahadhari kuhusu Uwepo wa Vituo Feki/ Bubu/ Hewa vya Kupigia Kura

Mmeanza kutafutapakutokea maana spana za jpm kila kona wananchi wanawataka ccm tu
Unatumia nini kufikiri?? Ni Nani anayetafuta pa Kutokea? Yule anayehangaika kuiba au anayedhibiti wizi? Kumbuka wizi ni uvunjifu wa Sheria so anayeiba ndio anatapatapa mana anajua asipoiba hashindi. Au wewe akili yako inakuelekezaje??
 
Mwaka huu tanawadhibiti hawa matapeli, hawatoboi
 
Hili zoezi lifanyike nchi nzima sehemu zote. Wanachama na viongozi wahakiki na kufuatilia uhalali na uwepo wa vituo vya uchaguzi nchi nzima. Na vituo vyote hewa na idadi ya wapiga kura hewa iorodheshwe na kuweka wazi.

Mtoto hatumwi dukani mwaka huu. It’s do or die.
 
Na vituo vingine wameanza kusambaziwa masanduku yenye kura zilizopigwa.

View attachment 1609177
Doooh aisee hii ni FEDHEHA kubwa Sana Kwa Taifa letu na DHIHAKA Kwa Watanzania.

Yani nchi imetumia zaidi ya Bilioni 350 kuratibu Uchaguzi halafu Siku ya Mwisho wanafanya utoto kama huu.

Vyama vya Upinzani waunganishe nguvu kuijulisha dunia udhalimu huu mana kumbe tupo chini ya Utawala wa Kikoloni mana inaonekana hatuna tena namna ya kisheria/rasmi ya kuwatoa madarakani wakoloni hawa weusi.
 
Kwa hiyo wananchi hawana haki ya kuchagua, ila kikundi kidogo cha ccm ndo chenye haki?!
Hata marekani wanachi wanachagua ila kikundi cha watu wasiozidi 400 wanapiga chini matakwa ya mamilioni ya wananchi. Yote hii ni kwa maslahi ya nchi.
 
Tume ya Uchaguzi, CCM, na polisi, amani ya nchi hii iko mikononi mwenu. Kikinuka, Siro, Magumashi na wenzako mjiandae
 
Mkishinda tambo nyiiingii,mkishindwa visingizio viiingiii
 
Naunga mkono hoja Chadema/ACT wawekeze kwenye kuhakiki wapiga kura feki na vituo feki ,Mawakala wapewe elimu kwamba kila mpiga kura anayeiingia kwenye kituo waangalie picha ya kitambulisho kama anafanana na mpiga kura ,akiwa tofauti aweke pingamizi.

Wapiga kura feki wengi wanapewa vitambulisho feki mbao ndio wanaoenda kupiga kura feki na kuwapa CCM.
 
Mwenye hii video aipandishie uzi unaojitegemea kabisa. Hii hujuma haitakiwi kuwa sehemu ya comments. Inatakiwa iwe ni uzi unaojitegemea ili watanzania na dunia waone huu uhuni.
Ni kweli kabisa, naunga Mkono hoja hii. Na tupate tukio kamili mana hapa haielezei ni Wapi, Lini na Mwaka gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…